Recent content by aggykatrina

  1. aggykatrina

    JamiiForums Tanzania Dada angu anataka kuniuwa kisa nimemtoa kwenye nyumba yangu ya urithi

    Habari naomba ushauri, mimi ni mtoto wa peke wa kike nikiwa na mdogo wangu wa kiume .hatuna wazazi mama alifariki mwaka mmoja uliopita .Tamko likatoka nyumba ipangishwe ili tupate hela ya ada shule , mtoto wa mama angu mkubwa akaomba kuishi ila huku atakua analipa kodi. Ila alifanya jumba...
  2. aggykatrina

    JamiiForums Tanzania Unaweza kustaajabu kama mimi!!Ndoa zinazidi kupoteza maana!!

    Hili ni tatizo kwa sasa ila , wanaume waleo ni basi tena hata huruke kama ngedele kitandani atatoka tuuu
  3. aggykatrina

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli wanawake wenye shape ni rahisi kuwapata

    Nasikia watu wengi wanasema wanawake wenye shape ni maji mara moja ?
  4. aggykatrina

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana ila sina hamu ya kufanyanae sex

    Heeee hayo ni ndani ya majukumu yake
  5. aggykatrina

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana ila sina hamu ya kufanyanae sex

    Nimekuelewa vizurii sana asante gango2
  6. aggykatrina

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana ila sina hamu ya kufanyanae sex

    Mashetani jamani
  7. aggykatrina

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana ila sina hamu ya kufanyanae sex

    Sawa nitafanya hiyoo
  8. aggykatrina

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana ila sina hamu ya kufanyanae sex

    Yeye ni wa pili nilijua wakwanza maybe sikumpenda
  9. aggykatrina

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana ila sina hamu ya kufanyanae sex

    23 years
  10. aggykatrina

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana ila sina hamu ya kufanyanae sex

    Sijisiki kabisaaa
  11. aggykatrina

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana ila sina hamu ya kufanyanae sex

    Mmmmmmnh?????
  12. aggykatrina

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana ila sina hamu ya kufanyanae sex

    Sina hamu kabisaa yani akianza kunishika shika tu sijisiki
  13. aggykatrina

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana ila sina hamu ya kufanyanae sex

    Habari wa jf, nina boyfriend wangu nampenda sana ila hua sina mizuka nae sana kitandani , hata akiniomba nahisi kero napenda sana kua nae karibu ila si kitandani.ni fanye nini kuitoa hali hii?
  14. aggykatrina

    JamiiForums Tanzania naolewa tu sababu ya mimba yake and not any other business!

    Umenenaaaaa:thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup:
  15. aggykatrina

    JamiiForums Tanzania NAomba jibui

    Kila M2 anasema anataka kuolewa na mwanaume mwema,mzur na mwenye tabia njema... swali ni je hawa mnao wachuna na kuwasaliti sasa hv nan watamuoa?????
Back
Top Bottom