oooh so point yako ni kuonyesha sina la maana??? at this age kuna wanaofanya makubwa sema tu umetawaliwwa na fikra zako unazoziamini..dont think kila alie umri huu ni wa kushow off fb na mitandao mingine.
tuko tofauti
23 bdo mdogo sana???labda unishauri nianzie umri gani?nikae ndani mpk lini ndo nianze kujichanganya na watu..hujui hata graduates tunatumia njia hii kupata kazi?or unadhani kila binti anaepost hivi anatafuta bwana au anajiuza? niambie nijifunze smart
ninyooshe vp pakay...c nimeeleweka pale..
but gals wenzangu ni kama nashimdwana nao kama nkikuta tabia hatuendani.eg kama ye ni wakutembea na waume za watu or malayamalaya mi namkimbia hakymama tena
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.