Kwani anaejimilikishaga mtoto ni nani kama sio nyie wanawake. Na ushaidi wa ilo hauwezi kuona mtoto anakaa na baba halafu ana chuki na mama. Lakini mtoto akikaa na mama lazima aje kuwa na sumu ya chuki kwa baba ake
Wanabodi, mimi ni kijana wa kiume wa 20's. Mkazi wa Dar, kwa sasa ninaishi mbezi magari saba. Naomba yoyote mwenye nafasi au information ya kazi msaada wako unahitajika.
Kuuza duka, storekeeper, kufanya kazi godown, kazi inayohusu taaluma niliyosemea procurement and logistic management, saidia...
Raia wamelishwa propaganda za wanasiasa. Hili suala la kuwa-demonize graduates wanaotafuta kazi na watu waliojariwa ilikua ni mbinu yao kukwepa lawama za kutengeneza uchumi unaozalisha ajira za kutosha. Wenye akili ndogo wameibeba agenda ya wanasiasa kama ilivyo.
Kuna motivesheno spika mmoja...
Kwenye thread yako umewafanya walioajiriwa ni villain kwa maana wanawaonea husda ambao wamejiajiri. Hivi mtu yupo deloitte au bot anakamua mzigo wa maana akuonee gere wewe na duka lako la mangi.!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.