Recent content by agapito

  1. agapito

    JamiiForums Tanzania Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

    unajisikiaje ukisoma huu upupu wako bro?umeshapata hata wasaa wa kutubu?
  2. agapito

    JamiiForums Tanzania Responded Rais Samia: Dar es Salaam ni kuchafu, ni aibu

    Basi tuseme ni kwa sababu ya wafuasi wa CHADEMA wanamwaga mavi barabarani!hapo vipi?
  3. agapito

    JamiiForums Tanzania Responded Rais Samia: Dar es Salaam ni kuchafu, ni aibu

    "hili nalo mkalifanyie kazi"ndio kamaliza hapo!
  4. agapito

    JamiiForums Tanzania Lissu: Nipo tayari kukaa gerezani mpaka haki itakapopatikana

    joined 2026!baada ya mauaji ya kimbari Tanzania..
  5. agapito

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kamati kuu chadema yaahirisha kikao baada ya katibu mkuu kujiuzulu

    ahahaaa..kajiunga kimkakati!wataliwa sana hela zao kipindi hiki.
  6. agapito

    JamiiForums Tanzania Historia itakukumbuka Mbowe kwa kuyasaliti Mageuzi

    huu ndio uzuri wa hili jukwaa..kumbukumbu hazipotei.shida ya wabongo wengi wanatumia makalio kufikiri badala ya kukalia!leo kila mmoja anakiri Mbowe alikuwa snich.
  7. agapito

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Makonda ndiye ameamua kumchagua Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania?

    hii nchi wizi umeshakuwa kwenye damu..IOC wameshatangaza kumtambua mh Mtaka huko!hivi kweli mnamtangaza mshindi mtu aliyepata kura moja!
  8. agapito

    JamiiForums Tanzania GE2025 Angella Kizigha ni nani kwenye kampeni za Samia?

    Sio bi chura.. Ni papai
  9. agapito

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zungu awashukuru wajumbe wa Ilala kwa kumpigia kura

    Kama angekuwa anakubalika hivyo asingetumia rushwa na wizi kushinda kura za maoni na ubunge. Kumbuka 2015 namna kulivyotokea mtafuruku mkubwa kati yake na mgombea wa UKAWA.. Kumbuka 2020 alivyotoa rushwa waziwazi ili kumshinda Sofia Mjema.. Uchaguzi wa mwaka huu kawakusanya wajumbe nyumbani...
  10. agapito

    JamiiForums Tanzania Kwanini Jaji Mwanga asikilize kesi anayolalamikiwa? Iko wapi Natural Justice?

    Ikiwezekana ingekuwa ni vyema na haki..
  11. agapito

    JamiiForums Tanzania Kwanini Jaji Mwanga asikilize kesi anayolalamikiwa? Iko wapi Natural Justice?

    Hivi ikitokea Issa Mohamed na Maulida Komu wakatangulia mbele ya haki, kesi itaendelea au itafutwa?
  12. agapito

    JamiiForums Tanzania "Wanawake Wenzako". Hii Ni Kauli Ya Dharau Sana Iliyotolewa Na Luhaga Mpina Kwa Amiri Jeshi Mkuu. Imeniudhi Sana

    Yaani ni mwanamke kama wake zetu nyumbani tu, na wafanyacho wao nayeye anakifanya.. Full stop
  13. agapito

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tazama Luhaga Mpina akiondoka Uwanjani, Meatu baada ya mkutano wa Rais Samia

    Tatizo Whisky kabla ya kuhutubia.
  14. agapito

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema hata akijiunga CCM hawezi kupata nafasi yoyote kwa sababu hana elimu inayoeleweka

    Bi mkubwa ana elimu gani?
  15. agapito

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    No reform No election
Back
Top Bottom