Recent content by afusae

  1. A

    Interview meneja wa SACCOS

    Tanzania tuna shida kweli yaan kwanin yeye aliyeomba kazi siwalisema majuku yake, na kwanini asije mwenyewe hapa, muachie simu yako kama hana, au ni wew mwenyewe unajidai ndugu yako
  2. A

    Kunani kazi za zoomtanzania?

    zoooom utapeli tu,ajira zao ni uongo
  3. A

    Godoro Dodoma linauzwa bei chee

    ni pm tuongee
  4. A

    Pita hapa vitu vya ndani vinauzwa kwa nusu bei kwa DSM

    nimekucheki tayar inbox SMS kawaida 0713522447
  5. A

    Pita hapa vitu vya ndani vinauzwa kwa nusu bei kwa DSM

    nimekutumia tayari hivyo vitu tayari,whassap
  6. A

    Pita hapa vitu vya ndani vinauzwa kwa nusu bei kwa DSM

    najaribu ku attach zinagoma ila sema kitu unachokitaka wewe nakutumia picha yake
  7. A

    Pita hapa vitu vya ndani vinauzwa kwa nusu bei kwa DSM

    Naamini mko salama, napenda kuwa taarifu kuwa naendelea kuuza vitu vya ndani kwa wakaazi wa Dar es salaamu, sababu ya kuuza ni kuhama mji kwenda kanda Geita ya ziwa baada ya kupata kazi huko. 1.Meza ya kusomea draw 1 na kiti elfu 50. 2.Mtungi mdogo mihan na stand zake unagesi kidogo elfu 50...
Back
Top Bottom