Recent content by Afroimage investment

  1. Afroimage investment

    Nahitaji Mtaalamu wa kuchanganya viungo

    Habari, nahitaji mtaalamu wa kuchanganya viungo ili tufanye biashara katika kampuni yangu awe competent. Ili kampuni itengeneze admired product za spices zote. Check me through 0756 653138
  2. Afroimage investment

    Biashara ya viungo vya chakula

    Habari kwa mwenye uelewa wa biashara ya viungo vya chai na chakula nahitaji mtaalamu aliepo moshi mjini mini nina mtaji wa pesa ila nahitaji mtaalamu anaejua kutengeneza viungo mbalimbali ili tufanye kazi.
Back
Top Bottom