Recent content by afro

  1. A

    Joseph Kussaga na ufisadi wake katika entertainment Tanzania

    Wafanyakazi wake(watangazaji na wengineo) Imefikia wakati watu wanaogopa kuacha kazi kwa kuwa ukiamua kuacha kazi clouds basi umeacha na shughuli za sanaa au burudani. na ukiacha kazi clouds basi wewe ni moja ya maadui wakubwa wa Kussaga kwakuwa anajua unajua mambo yote anayoyafanya na anajua...
  2. A

    Joseph Kussaga na ufisadi wake katika entertainment Tanzania

    Udhamini(sponsorships): Kila kampuni kubwa kawaida inakuwaga na kikao kimoja kikubwa cha bajeti kwa mwaka. Ndani ya bajeti hiyo kunakuwa na kitengo cha promotion, Na ndani ya kitengo cha promotion kunakuwa na kipengele kingine cha udhamini wa shughuli za jamii. Kinachofanyika basi, Huyu bwana...
  3. A

    Joseph Kussaga na ufisadi wake katika entertainment Tanzania

    Mkuu sitaki kulipiza kisasi wala kushindana nae ila nimekaa nikajiuliza ni wangapi wameathirika na wataendelea kuathirika na mtandao huu mbaya?na je utaendelea mpaka lini?
  4. A

    Joseph Kussaga na ufisadi wake katika entertainment Tanzania

    Suala la Saida karori kupotea ni kutokana na kutokuwa na maelewano baina ya meneja wa Saida na CLOUDS FM. Kipaji cha Saida karori kiligunduliwa na Mr Mutta ambaye ni mmiliki wa studio za FM Studios. Baada ya kugundua kipaji hicho Mutta alimuingiza studio msanii huyo na kusaini nae mkataba kama...
  5. A

    Joseph Kussaga na ufisadi wake katika entertainment Tanzania

    Najua mwanzoni itakuwa ngumu kueleweka kwakuwa maswali mengi yatajitokeza kutokana na thread hii,Ila ningependa kufafanua zaidi kwamba mimi sikuwa mshiriki wa Kussaga bali nilikuwa muajiliwa niliye kifungoni kama wasanii wanavyowekwa kifungoni lakini imefikia wakati nimeshindwa...mimi fani yangu...
  6. A

    Joseph Kussaga na ufisadi wake katika entertainment Tanzania

    Tanesco: Iwapo kuna tamasha lolote linaendelea na yeye hakubaliani nalo kwakuwa labda siku za mbeleni litakuwa na ushindani katika matamasha yake makubwa ya mwana,watu wake wakubwa wa kuvuruga mambo ni Tanesco.Kussaga ameshikiria karibia wakuu wote wa Tanesco kwenye wilaya zote za Dar es salaam...
  7. A

    Joseph Kussaga na ufisadi wake katika entertainment Tanzania

    Kwenye haki za msanii mara nyingu husimamiwa na bwana Ruge,Yeye Kussaga anachofanya ni kumbana na kulazimisha msanii kusaini mkataba anaoutaka yeye kwenye tamasha mabalo kussaga anataka msanii huyo aperform. kwa mfano,kuna tamasha la la Fiesta kuzunguka mikoa karibia 10 na tamasha hilo...
  8. A

    Joseph Kussaga na ufisadi wake katika entertainment Tanzania

    Umalaya, Kama nilyowahi kuyasoma kwenye mjadala wa MR 2 n ruge,kuna mdau mmoja alitoa hoja kuhusu bwana Ruge ya kwamba ili kumtoa msanii ni lazima alale nae ndiyo amtoe...hoja hiyo ni ukweli mtupu na si kwa wasanii tu bali mtu yeyote mwenye jinsia ya kike akija kuomba msaada wowote wa...
  9. A

    Joseph Kussaga na ufisadi wake katika entertainment Tanzania

    Ahsante sana Bwana Mwita Maranya,kitu hicho hata mimi nilikifikiria sana lakini nikaona kwamba nikifafanua yote kwa pamoja nigejaza kurasa zaidi ya tano,diyo maana nikaona ni vema tukaenda step by ste. nina imani umenielewa.
  10. A

    Joseph Kussaga na ufisadi wake katika entertainment Tanzania

    Ikiwa ni post yangu ya kwanza,ningependa kuwajulia hali wana JF na wadau wote wenye nia njema na nchi yetu Tanzania. Leo nimeamua kuidadicate post yangu ya kwanza kwa wanaentertainment wote wa Tanzania ambao wengi wao ndoto zao zinaishia hewani kutokana na ufisadi unaofanywa na The Don of...
Back
Top Bottom