Recent content by afrikando

  1. afrikando

    CHADEMA: Kuahirishwa kesi ya Wabunge 19 wanasogeza muda

    Chadema wataachana vipi na hii kesi wao ndiyo walioshitakiwa, nadhani hujafuatilia kilichopo hapo mahakamani.
  2. afrikando

    SIMIYU: Levinus Kidanabi Jela miaka saba na faini mil 15 kwa kumkashifu Rais Samia

    Wewe ujaribu 'Kukohoa' wakati mwanamke aliyejaaliwa maumbile anapita ndiyo utajua.
  3. afrikando

    Kwakuwa kesi ya Mbowe iliishia njiani na inaweza kurejeshwa, Kingai aisuke tena

    Mwache afurahie utamu wa cheo kipya, kwani yeye hajui kuwa kuna kudhalilika tena wakirudi mahakamani kwa kesi ile ya mchongo, hapo alipo sasa ana uhakika hataulizwa mambo ya PGO and the like, kile kibano cha akina Kibatala and company si cha kitoto.
  4. afrikando

    Baada ya Injinia Hersi Said kuchukua Fomu Yanga SC taratibu 'ANGUKO' la Yanga SC naanza kuliona kwa mbali

    Na hapo ndipo walipotumia makolo Kupitia makonda kuihujumu Yanga kwa kudhoofisha kila alichokuwa nacho Yusuph Manji, leo hii ni kinyume chake, wao wako wapi na yanga iko wapi? Mungu Fundi kwelikweli.
  5. afrikando

    Halima Mdee na wenzake watinga Bungeni licha ya CHADEMA kutangaza kuwafukuza rasmi

    Tena siyo wa Chadema tangu hapo mwanzo.
  6. afrikando

    TBC yapaswa muwajibike kwa kuruhusu Hotuba ya Slaa inayotetea Ufashisti

    Huoni hata maneno yako yanapwaya hapa? Ni bora kunyamaza katika wakati huu ukweli unapokuwa dhahiri.
  7. afrikando

    Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

    B Bila shaka anataka useme Jamuhuri ndiyo wameshinda.
  8. afrikando

    Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

    Wameachiwa huru hawa watatu waliokuwa na Mh. Mbowe, sijui kuna wale Chief Tozo aliosema kule BBC kuwa walishafungwa nao wamechiwa?
  9. afrikando

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Sana na ulimbukeni na sifa sifa za kuudhi.
Back
Top Bottom