Recent content by AFRIKA ACTIVE ACTIONS

  1. AFRIKA ACTIVE ACTIONS

    JamiiForums Tanzania Elimu Kwa wapiga kura iwe endelevu

    Ni mazingira gani yanayopelekea huu utamaduni kutokuwa endelevu?
  2. AFRIKA ACTIVE ACTIONS

    JamiiForums Tanzania Rais wa IPU, Dkt. Tulia Ackson alivyofungua Mkutano Mkuu wa 149 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Geneva, Uswisi

    Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani unafanyika Geneva, Uswisi. Mkutano ulianza Oktoba 13 na utatamatika Oktoba 17,2024. Huu ni mkutano wa 149. Mjadala mkuu katika mkutano huo ni kuhusu "Matumizi ya Sayansi,Teknolojia na Ubunifu Kwa ajili ya mustakabali wa Amani na Uendelevu" (Harnessing...
  3. AFRIKA ACTIVE ACTIONS

    JamiiForums Tanzania Busara za Mwalimu Nyerere katika kudumisha na kulinda umoja wa Afrika

    Januari 1976,huko Ethiopia,Addis Ababa, mkutano maalumu wa wakuu wa nchi za OAU uliitishwa Ili kupata suluhu ya mgogoro mzito na wa kutisha uliotaka kuligawa bara la Afrika vipande vipande. Mgogoro huo ulikuwa baina ya nchi zilizokuwa zinaiunga mkono serikali ya MPLA chini ya Antonio Agostino...
Back
Top Bottom