Nami pia wacha niseme hakuna shida Dar ikiendelea.
Dar, Mwanza, Arusha, Kigoma zikiendelea yamaanisha biashara yaongezeka Afrika Mashariki. Na kinyume pia Nairobi, Mombasa, Kisumu, Nakuru zikiendelea pia yamaanisha maendeleo Afrika Mashariki.
Twafaa kuelewa kukiwa na 'healthy competition' ni...