Kolo kama kolo, robo fainali ya shirikisho tu kombe la kina mama mmecheza na Namungo ya misiri mmekusanya wachawi kama wote ndio mkapita tena kwa mikwaju ya penati, upuuzi mtupu, kwa ufupi simba sio timu ya mpira bali ni kikundi cha wachawi na wanganga wanaogaribu soka la Africa
Mnapata wapi ujasiri wa kujiita wakubwa wakati hata kombe la mbuzi hamna, hizo rank sio kitu cha kudumu, pamoja na kuwazidi kwenye rank timu kama Tp mazembe wydad, raja Casablanca na na young African lakini Simba bado ni katoto tena kajinga kwa hizi timu kwani mafanikio ya timu hupimwa kwa...
Ndugu zangu wanasimba kucheza fainali za CAF katika hii generation sio kitu rahisi kama mnavyofikiria hizi zama sio miaka ile ya tisini mliocheza fainali za bonanza la Mashudi Abiola.
Wenzenu Yanga walijipanga na walikua na wachezaji kweli, ukiangalia kile kikosi cha yanga kilikua na experience...
Nauza mashine ya kutengenezea picha mbao kwa bei kitonga kabisa, mashine bado ni mpya kabisa nicheki uchukue mzigo
Bei ni sh 250000
Dar es salam
Simu 0617009453
Wadau kama heading inavyojieleza hapo juu nina vifaa vyangu kwa ajili ya kupiga picha indoor na viuza kwa bei kitonga Sana
Kuna studio background yenye vitambaa vinne ambavyo ni nyeusi, nyeupe, kijani na kijivu.
Soft box mbili, miavuli minne na reflector
Taa NNE na fleme zake, pia vitambaa...
Jamani life limenichapa miezi kadhaa iliyopita nilifunga biashara yangu ya picha, vifaa nikarurdisha nyumbani.
Leo nimeamua kuuza vifaa vyangu ili maisha yaendelee
Nina camera canon D 550
Studio picture background yenye vitambaa vinne na taaa
Na boon mic Panasonic
Vyote naitaji laki 9 tu...
Ni kweli ujiposti status WhatsApp lakini bado una ego hata, hiki ulicho kileta kinaonesha wewe ni mjivuni, ni kama ulikua unataka kutuambia kwamba unamiliki gari na pia wewe ni msomi ungekua sio mtu wa kujionyesha ungekausha hata usingeandika huu uzi
Tunauza picha nzuri kwa ajili ya kupamba ofisini na majumbani karibuni tuwaudumie
Picha hizi chini zina ukubwa wa size A3
Bei ni sh 23000.
Contact 017009453
DSM NA MIKOANI TUNATUMA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.