Recent content by Africaboy

  1. Africaboy

    Magari ya mizigo kutoka Kenya yazuiwa kuingia Tanzania kupitia mpaka wa Horohoro (Lungalunga)

    UJINGA KAMA HUU NDIO SABABU TANZANIA ITAENDELEA KUWA NCHI MASKINI YENYE ARDHI ILIYOJAA MINERALS Hakuna nchi yeyote duniani inakubalisha ndege za abiria wakati huu. Hata zile zinaendea raia wa nchi yake zinapitia mpango wa chartered Aircraft kwa maombi ya embassy. Ndege za cargo ama ukipenda...
  2. Africaboy

    Magari ya mizigo kutoka Kenya yazuiwa kuingia Tanzania kupitia mpaka wa Horohoro (Lungalunga)

    mexico, zambia...KUNA NCHI NYINGI SANA ZENYE MAHINDI
  3. Africaboy

    Namanga: Madereva 23 toka Tanzania wazuiliwa kuingia Kenya baada ya kukutwa na COVID-19

    ukweli utajulikana badaye. Pengine hizo test zinaona kila mtu akiwa positive. Ama asilimia 80% ni positive ilhali sio kweli. Who knows man. Meanwhile watch a good video here DAR ES SALAAM IKO MIONGONI MWA MAJIJI HAYA YENYE MVUTO AFRICA
  4. Africaboy

    Dar es Salaam ni miongoni mwa majiji muhimu na ya kuvutia sana Afrika nzima

    Katika episode hii ambayo imeangazia 'MEGA CITIES' ama ukipenda majiji ambayo yako developed na yenye mvuto. Jiji la Dar ni miongoni mwa majiji haya 7. itazame video yenyewe unipee maoni yako. DISCLAIMER: Maelezo yamefanywa kwa lugha ya Kiingereza 👇 The Most Beautiful & Developed African mega...
Back
Top Bottom