Recent content by afratern

  1. A

    Mama salma kikwete kwa wakazi wa lindi, awahutubia kuhusu Muungano

    Najua hakuwa amejiandaa kuwa 1ST Laddy.
  2. A

    Mizengo Pinda: Hata sisi tutazunguka nchi nzima kuwaeleza wananchi, na watatuelewa...

    bila daftari la wapiga kura kuimarishwa ukawa hawana nguvu bungeni wala mtaani ndio maana ccm wanajidai sana.watapiga kura watu milioni tano kupitisha rasimu mbovu mashaka bado yapo.
  3. A

    Viongozi wa siasa tanzania wamepungukiwa nini?

    RockSpider umenena kweli.. ila haya mapungufu ni lazima tuyaondoe na nchi yetu ibaki salama.
  4. A

    Viongozi wa siasa tanzania wamepungukiwa nini?

    Ni zaidi ya nusu karne sasa Tanzania ipo ktk ombwe kubwa la kiuongozi. Hatuna viongozi wengine walioonyesha mfano wa kuigwa zaidi ya wazee wetu waasisi wa Taifa hili. Taifa linahitaji msaada wa haraka yamkini badala ya kuangalia makosa ya watawala hawa tunahitaji kulisaidia Taifa kuondokana na...
  5. A

    PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

    Hata hivyo chadema bado inamhitaji zito. Lakini katika familia ukiwa na mtoto mmoja anayewalisha sumu wenzake ili awaue na arithi kila kitu yeye hakuna sababu ya kuacha kufanya maamuzi magumu kwa ajili yake. Ama afungwe jela maisha au umfukuzwe ili asiendelee na mkakati wa kuiangamiza familia...
  6. A

    SHIVJI: Serikali tatu ni kuvunja muungano

    Nchi yetu ni yetu sote. Maamuzi ya wengi yatasikilizwa.
  7. A

    SHIVJI: Serikali tatu ni kuvunja muungano

    Shivji pamoja na taaluma ya sheria aliyo nayo ana hofiu. Mtu mwenye hofu hawzi kfanya maamuzi yoyote ya kimaendeleo hata kama anaelimu kubwa. Suala la gharama sio tatizo kwa sababu hizi 1. serikali ya muungano haitakua serikali inayoshughulika ma mambo mengi ya nchi washirika wa muungano. Ni...
  8. A

    Hukumu kesi ya Mchungaji Mtikila Mahakama ya Afrika kusomwa Kesho

    Mwanaharakati huyu ameanza kudai kuruhusiwa mgombea binafsi muda mrefu sana ila ni kuda wake maana inabidi adai fidia ya gharama za kuendesha kesi hiyo. Kinachinishangaza ni kushindwa kwake kuwa msaada kwa chama chake na taifa kwa ujumla. This is ze comredy.
  9. A

    Tume ya Warioba haikufanya LOLOTE

    pamoja na msingi uliowekwa lakini tunahitaji kwanza kujua katiba ya Tanganyika itakuwaje? kwa misingi ya kihistoria ni vema tukatumia jina Tanganiyika kuliko tz bara.
  10. A

    Mpambanaji Tundu Lisu Kuwasha Moto live Songea Bombambili

    Tupo pamoja tujuze yote yatakayojiri. kazi iende mbele.
  11. A

    Henry Matata: Dr. Slaa mwongo no. 1 duniani

    Chadema itaendelea kuwapima na kuwachuja wale wote ambao ni pandikizi la CCM au wenye tamaa na uchu wa madaraka kwa manufaa yao wenyewe. Kauli ya Bw. Matata ni kauli ya mwendawazimu.
  12. A

    Kikwete akutana na uongozi wa CHADEMA Ikulu; Dr. Slaa ndani

    Ni hatua muhimu katika kuhakikisha Tanzania inakua na katiba safi. chadema endeleeni na uzalendo huo. Ningewashangaa kama mngekaa kimya na kuwaachia ccm peke yao kuendelea na mchakato huo. Nawatakia kila heri......
Back
Top Bottom