Mwenyekiti wa CCM MKOA wa tabora Mzee mwakasubi amefaliki jana akiwa ofisi kwake.Kifo hicho kimetokea jana ambapo alianguka ghafla na kupoteza maisha.Msiba upo nyumbani kwao mabama.Atakumbukwa kwa kwa utendaji wake na uchapakazi wake uliotukuka.Sisi wote ni wa Mungu na kwake tutarejea...
daaaah tatizo la umeme kumbe limekuwa kubwa zaidi ya tunavyozania umeme mchana kutwa hamna , umerudi saa 1 usiku sasa hivi umekatika maskini samaki zangu zote zimeharibika. sijui ntashika wapi?! hivi magufuli aliwezaje? kila kitu nchii shida Mungu pitisha ufalme wako tuondokane na shida hii...
Hatimaye zimefika siku 4 bila ya umeme wilayani Kaliua huku meneja wa wilaya na mkoa mkoa wakitoa tangazo limesababishwa na kuanguka nguzo 10 zilizopo mbugani.
Kwanini Serikali na inalea watumishi wazembe hivyo?! Ndio maana miradi mingi ya serikali hufa na hawapati faida na inaendeshwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.