Recent content by Affet

  1. Affet

    JamiiForums Tanzania Kombe wamelikosa kwa miaka 5 mfululizo: Baada ya kulipata mwaka huu, tutegemee kusikia sauti ya MBWATA! MBWATA! MBWATA!

    Jibu hoja sio kujichekesha km msimbe hyo miaka 5 iko wapi hapo?
  2. Affet

    JamiiForums Tanzania Kombe wamelikosa kwa miaka 5 mfululizo: Baada ya kulipata mwaka huu, tutegemee kusikia sauti ya MBWATA! MBWATA! MBWATA!

    Mm pia nimemshangaa alidhani vilaza tutaitikia kila atakachoongea
  3. Affet

    JamiiForums Tanzania Kombe wamelikosa kwa miaka 5 mfululizo: Baada ya kulipata mwaka huu, tutegemee kusikia sauti ya MBWATA! MBWATA! MBWATA!

    Miaka 5 kivipi bwashee unahisi hatufatilii unaweza ongopa tu unavyojiskia? Mmechukua ubingwa misimu 4 mfululizo 2017/2018,2018/2019,2019/2020, 2020/2021 wa 5 ndio huu 2021/2022 kombe limerudi nyumbani na misimu 3 nyuma 2014/2015,2015/2016,2016/2017, kombe lilikuwa nyumbani tena!
  4. Affet

    JamiiForums Tanzania Tadeo Lwanga vs Victor Akpan

    Yule Sillya sijui anavyoitwa?
  5. Affet

    JamiiForums Tanzania Simba SC namuhitaji Emanuel Gabriel Okwi Kikosini kama hamuwezi Kuongea nae nitumeni Mimi kwani nammudu na atasaini tu

    Mm pia nimeshangaa maana Emmanuel Gabriel ni mwengine na Emmanuel Arnold Okwi ni mwengine ila kwa kua mtoa mada ni mjuaji,jeuri na mtu wa matusi ikabidi tu nikaushe!
  6. Affet

    JamiiForums Tanzania Tabora: Amuua mke wake kwa kisu kisha ajiua kwa kunywa sumu. Aacha Ujumbe

    Umemaliza,tatzo kubwa ni njaa hakuna cha watoto wala nini kwanza mwanamke akiwa vzr kiuchumi anakuwa jeuri humbabaishi anabeba wanae atawalea peke yake ila ramani ikiwa haisomi utampiga umuue hatokiiiii
  7. Affet

    JamiiForums Tanzania Tabora: Amuua mke wake kwa kisu kisha ajiua kwa kunywa sumu. Aacha Ujumbe

    Na sifa za kijinga
  8. Affet

    JamiiForums Tanzania Tabora: Amuua mke wake kwa kisu kisha ajiua kwa kunywa sumu. Aacha Ujumbe

    Na yule aliyemkaza mama yake Tarime alikuwa dini gani? Acha ufala
  9. Affet

    JamiiForums Tanzania Tabora: Amuua mke wake kwa kisu kisha ajiua kwa kunywa sumu. Aacha Ujumbe

    "Nilimuoa siku moja,tutakufa pamoja na mtuzike pamoja"
  10. Affet

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumfungulia biashara mwanamke ni kosa kubwa la kiufundi linalofanywa na wanaume wa kizazi hiki

    True love ipi ndg yng weeeee
  11. Affet

    JamiiForums Tanzania FT: NBC Premier League | Young Africans 3-0 Coastal Union | Mkapa Stadium | YANGA BINGWA

    Haaaaahaaaaa we fala umenchekesha sana yaani umemkumbusha kwamba muda wa tofali bado asiharakishe mambo
  12. Affet

    JamiiForums Tanzania FT: NBC Premier League | Young Africans 3-0 Coastal Union | Mkapa Stadium | YANGA BINGWA

    Wakawaotee bibi zao tunapiga zote tulia uone
  13. Affet

    JamiiForums Tanzania FT: NBC Premier League | Young Africans 3-0 Coastal Union | Mkapa Stadium | YANGA BINGWA

    Nusu fainali ipi tena?
  14. Affet

    JamiiForums Tanzania Baada tu ya mchezo kuisha jana wafuatao ndio wanapitia wakati mgumu

    Hyo kawaida ndugu kwani kipindi Simba inachukua si ilikuwa sababu ya uzembe wa Yanga? So usilete excuse mlikuwa bora mkabeba this time tuko bora tumebeba mambo ya ooh simba ingekuwa siriaz sijui kutodharau mechi ni kutafuta sababu tu msimu huu hamkuwa na timu nakuunga mkono kwamba kimataifa...
  15. Affet

    JamiiForums Tanzania Jemedari Said anajua vizuri lugha ya kiingereza, Haji Manara punguza chuki binafsi

    Hapa tupo pamoja mtani Manara anazingua sana
Back
Top Bottom