Recent content by AeIoU

  1. A

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi ni Mchanganyiko wa Mdude + Lissu. Je Alikuwa Wapi Wakati wa Hayati Magufuli?

    Je na wewe ulikuwa wapi!
  2. A

    JamiiForums Tanzania DPW Special Thread: Uzi maalumu kuhusu kampuni ya DP World

    Pye.... wewe ukitaka hao member wawepo tangu mwanzo wa jf : 1. Je DP-WORLD ilishakuwa imekuja Tanzania? 2. Kwa uelewa wako mdogo unadhani wale member wa zamani ndio wenye haki ya kuleta na kujadili hoja tuu! 3. Next time unapoanzisha mada tumia akili boya wewe!
  3. A

    JamiiForums Tanzania Maana ya neno "Tanganyika"

    Magu2016! Wewe ni boya!
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kwenu walimu, msifanye haya Ili yasiwakute ya Mwalimu Jimmy

    Mpwayungu Vilage! Una maoni gani kuhusu lalamiko hili dhidi ya mwalimu mwenzako!
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rwanda iache kufadhili waasi wa M23, Wakongo wameshachoka sasa

    Ndugu umeandika kitu ambacho hukijui na pia hata hakikuhusu kabisa. Sisi wacongolese ndio tunajua chimbuko la mgogoro huu ambao hautakaa uishe bila ya maridhiana toka pande zote mbili. Wewe jikite zaidi na mambo yanayokuhusu kuliko kushadadia mambo ya wenyewe
  6. A

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa NMB ni dalili ya taasisi za kifedha kukosa ufanisi katika utendaji.

    Kwa huku sasa hii benki ya NMB inapoelekea sio kuzuri Uongozi wa huyu mwanamama Ruth Zaipuna umegubikwa na umbea na majungu kupita kiasi hata wanayoyafanya yote haya ni ishara moja kuwa wamechanganyikiwa na kukosa focus.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Nehemia Mchechu: Tunamchekea Rais Samia, lakini hapa ameonyesha udhaifu mkubwa

    Pole sana acha wivu!
  8. A

    JamiiForums Tanzania Yunus Nassoro Ali, akamatwa kwa kujifanya mtumishi wa Usalama wa Taifa "TISS"

    Ni heri hata ya huyu kuliko lile pimbi linalongangania mali za GSM!
  9. A

    JamiiForums Tanzania Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

    Hata huyu anayedai kuwa kiwanja ni chake kwa majina ya Paul Christian Makonda sio yeye huyo ni Daudi Albert Bashite aliyefanya kosa kubwa la jinai "inpersonalization"
  10. A

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU mnasubiri nini kumkamata na kumchunguza Makonda?

    Nitakunyililo
  11. A

    JamiiForums Tanzania Sikuruhusiwa kukagua Daftari la Maslahi na Rasilimali la Paul Makonda

    Well said bila bila
  12. A

    JamiiForums Tanzania Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

    Samarai! Acha upumbafu wako wa kujidai unaangalia rangi eti mweusi na mweupe! Huyo kima makonda alifanya ufedhuli mkubwa sana acha tuu yamkute! Hawezi hata kuelezea source za utajiri wake na kadri mambo yanapoelekea atazidi kuumbuka tuu! Pambafu kabisa!
  13. A

    JamiiForums Tanzania Anguko la Makonda

    Kawoli! Kwani weww ni moderator hadi uamue mada ipi ijadiliwe kama unaona haina manufaa yoyote kaa kimya kima wewe! Huyu nyang'au mwenzako amefanya udhalimu mkubwa sana kwa wengi! Mjinga kabisa wewe Kawoli!
  14. A

    JamiiForums Tanzania Anguko la Makonda

    Mrangi kweli wewe pumbafu sana!
  15. A

    JamiiForums Tanzania Anguko la Makonda

    Labda anakukula wewe kenge kabisa!
Back
Top Bottom