Recent content by advocate kiza

  1. advocate kiza

    AHSANTE MUNGU FOUNDATION COURSE NIMEPASUA TUKUTANE UDSM

    Open uiversity of Tanzania(OUT) Chuo kikuu huria ndicho kilicho pewa mamlaka ya kutoa foundation
  2. advocate kiza

    CHUO CHA TANZANIA PUBLIC SERVICE TANGA

    Jaribu kukaa hostel atleast for first year, hostel itakuweka bize na kitabu though magetoni inakupa challenge ya maisha
  3. advocate kiza

    Msaada mzumbe university- Morogoro

    Guys p poleni na majukumu Nina mpango wa kujiunga na sheria ngazi ya cheti katika chuo hichi cha mzumbe Nilikuwa nauliza kwa mwenye uzoefu na mazingia ya pale. Upatikanaji wa materials, upatikanaji wa hosteli, gharama za maisha n,k Ahsanten sana
  4. advocate kiza

    Msaada kwa mwenye Div. IV ya point 26

    Write your reply...kama ana Credit(C) tatu katika masomo yasiyo kuwa ya dini Anaweza kusoma form five private,, second option ni chuo course yoyote ya art mfano community devolmnt law n.k thirfd option ni veta
  5. advocate kiza

    SCHOOL OF LAW

    Though hujasema level gani cert,diploma ama degree Kama ni cert IJA is the best, ila pana changamoto nyingi sana pale, binafsi ningekushauri uendee RUCU, wapo vizuri kwa cert na diploma, pia unaweza jaribu mzumbe though for me RUCU is the best,
  6. advocate kiza

    Tatizo la kuomba vyuo NACTE, shida ni nini hasa?

    Vyuo vya afya vingi wanasajiliwa chuoni,
  7. advocate kiza

    Tatizo la kuomba vyuo NACTE, shida ni nini hasa?

    Jaribu kusoma vizuri taratibu za application Vyuo vya afya wanaomba kwa mfumo wa panel
  8. advocate kiza

    Tatizo la kuomba vyuo NACTE, shida ni nini hasa?

    Jaribu kuingia katika tovuti ya chuo husika mfano chuo kama RUCU nime apply mda mchache uliopita kuoitia tovuti yao
  9. advocate kiza

    Naomba ushauri

    Write your reply... Mwalimu??/Stashada= Stashahada
  10. advocate kiza

    MSAADA WENU TAFADHALI

    Write your reply...maybe kwa sababu ni wekend jaribu weekdays
  11. advocate kiza

    MSAADA WENU TAFADHALI

    Write your reply...www.school.co.tz tafuta morogoro utaipata na mawasaliano yake
  12. advocate kiza

    Sifa gani znahitajika kujiunga na chuo(certificate)?

    Write your reply...mkuu usiangalie ukubwa wa chuo kinacho matter ni qualification Pia qualification inategemea na course yenyewe
Back
Top Bottom