Recent content by Advocate Jebra

  1. A

    Adhabu ya Kifo: Tumuachie Mungu ndiye mwenye Mamlaka ya Uhai wetu!

    Mimi (Jebra Kambole) ni miongoni mwa watu wanaopinga adhabu ya kifo kuwa ya lazima na hivyo kufanya mahakama ishindwe kutoa adhabu mbadala ya kifungo au kumkosesha haki ya kukata Rufaa yule asiyeridhika na adhabu maana haita badilika. Naamini pia Mungu ndiye katoa uhai na ni yeye pekee...
  2. A

    Vifungu vya sheria vinavyoruhusu mtoto wa kike kuolewa chini ya miaka 18 vyapingwa mahakamani

    Sheria ya ndoa ya namba 5 ya mwaka 1971 inatambua ufungaji wa ndoa kwa mila na desturi, kidini na ki serikali lakini sheria inatoa muongoza ambao kila mtu afuate bila kujali Imani yake kwa hiyo mahakama haifuti sheria ya kiislamu inafuta huo muongozo wa sheria ya ndoa na kuweka umri Sawa
Back
Top Bottom