Recent content by AdvanniG

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    lazima Patrick tu, au hata sisi wengine??
  2. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    kwamba ID mbili zenye jina moja au watu tofaut wamejiweka pamoja, unataka usema mkuu??
  3. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    mzigo mwingine sa ngapi kaka??
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama Kuna msaada wa kiimani ama kisaikolojia naomba tafadhari kabla sijachanganyikiwa

    katika yote uliyoandika sijaona mpango kazi wa kuwekana sawa na Mungu wako, yeye ni chanzo cha kila kitu kwako, he can restore anything you lost, tafuta ibada, shiriki ibada, fanya maombi, jichanganye na waliofanikiwa, kama upo dar......twende kwa Pastor Tony ijumaa kwa mkesha. utanielewa badae
  5. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    tutengeneze na sisi yetu kimasihara, ya mm na ww
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wenzangu mnaombaje mpaka maombi yenu yanajibiwa?

    jiamini kwa Mungu wako, amini Mungu anakusikia, jiwekee imani kwamba yeye ni baba yako na wewe ni mwanae na ndie aliekuumba, tambua kwamba amejaa rehema, hakuna kosa kubwa ambalo litazidi rehema zake kwako hadi asisikie maombi yako, usikumbuke vidhambi vyakk vya mtaani ivo, ukiona hauna imani...
  7. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho

    bro, polee sana kwa hayo yote, ishu yako ni spiritual zaidi kuliko mwilini, mkeo kavamiwa na jini mahaba linalomfanya achukie mapenzi na mume wake, hapa kuna mawili, either mkeo aliwahi kusagana au ni mdau sana wa movie za porno, nina ushahidi wa watu wawili hadi sasa ambao walikua na scenario...
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

    kaa nae, nimekutana na kesi kama hii wiki iliyopita, mwanamke anasema hana hisia kwa mume wake, anaona kinyaa kushiriki nae tendo, kwa sababu akiwa secondari alikua anashiriki homosexual na dadake wa shule, badae wakapotena, japo aliendelea kusagana hadi alipimaliza chuo (na wadada wengine)...
  9. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenye kujua dawa ya kupunguza hamu ya tendo la ndoa anijuze

    your spirit has been attacked by evil spirit and no medications can cancel out evil spirit, you have to seek spiritual help to be free. #SexualAddiction# Uraibu wa ngono
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Tent, keki na upambaji wa harusi Mbeya

    anaweza pia, inategemeana na gharama zake, nilipendekeza mkazi wa mbeya ili kuepusha gharama ambazo zinaweza zisiwe za lazima
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Tent, keki na upambaji wa harusi Mbeya

    Nahitaji tent classic, na fundi mzuri wa kupamba tent, kutengeneza keki ya harusi, na awe anapatikaba Mbeya mjini au wilaya za karibu na Tukuyu. Tukio ni mwezi wa tano, kwa yeyote mwenye connection karibu tuyajenge
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikasa ndani ya ndoa; Kakuta KY na butt plug kwenye begi la mkewe.

    [emoji848][emoji848][emoji848]
Back
Top Bottom