Recent content by ads

  1. A

    Magufuli kusainisha mawaziri mikataba ni kabla ya kuteuliwa kushika wadhifa ili wafanye kazi kweli

    Amesema akiapishwa ataangalia sheria ndogondogo jinsi ya kuzifuta kama experience ya kazi ya miaka 5.hivyo mikataba ni lazima kwa mawaziri baada ya kurekebisha sheria.
  2. A

    Uzinduzi wa Kampuni ya simu ya HALOTEL Live TBC

    Nasikia vodacom na tigo wamewabania kwa tcra
  3. A

    Kubenea, baki na uandishi tu, Siasa huiwezi

    Kweli kubenea hamna kitu nimemzalau kuanzia leo. Yani anamtetea lowasa na mnyika
  4. A

    Magufuli ni bingwa wa kukariri na sio kufikiri wazo jipya

    Magufuli yupo vzr sn kiingereza alikuwa mwl Sengerema sec wa kemia physics na mathematics. harafu inamana mikataba ya barabara imeandikwa kiswahili au.acheni ujinga wenu unajua PhD alisomea wapi (UK,Germany na USA).
  5. A

    CCM imehalalisha ukabila? Magufuli anahutubia kilugha

    Magufuli alikuwa mwalimu was kemia na physics inamana alifundisha kwa kiswahili pale Sengerema sec.magufuli jembeee
  6. A

    Eti mgombea uraisi kutojua kiingereza ni uzalendo? Basi kama ni uzalendo akahamie ACT

    Kwahiyo Sengerema Sec alikuwa anafundisha ki lugha somo la kemia na hisabati. Hahaaaaaa siasa bwana
  7. A

    Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, Lowassa uwanja wa Diesel, Newala-Septemba 21, 2015

    Picha za uwongo hapo sio mashujaa jamani hapo ni siku lowasa hupo morogoro.
  8. A

    Ukweli Kuhusu Babu Duni; Mgombea Makamu kupitia UKAWA

    Hivi tunashindanisha sera au mafuriko kwasababu mafuriko wapo watu wa vyama tofauti jamani.
  9. A

    Kutoka Tabora: Kampeni za Chama cha Mapinduzi uwanja wa Ali Hassan Mwinyi

    Tumieni akili hapo watu wapo wa caf,chadema,ccm NA wasio na chama kwahiyo sio lazima wote waitikie wamekuja kusikiliza Sera.
  10. A

    Mwigulu Nchemba Amzika Lowassa leo Mwembetogwa, Iringa Mjini

    Duuh hatar huyo mbunge tuuuuuu.. mafuriko
  11. A

    Morogoro: Magufuli - Elimu Bure kuanzia Msingi hadi Kidato cha Nne; Makamba awavaa Lowassa, Sumaye

    Makamba kanibadili gear kura yangu lowasa no.tender zote anampa Dada yake akiingia ikulu gesi si atampa kaka yake duu lowasa hafai majosho yote ya mifugo kajimilikisha. Inauma sana mbora kura yangu nimpe mama anah wa act wazalendo
  12. A

    Tsunami ya mgombea mwenza wa ukawa tanga mjin

    Huyo mgombea mwenza wa ukawa zero kabisa anaongea kama kingwendu hana hoja porojo tu alifaa agombee udiwani. Yani hapo bora angesimama hamadi rashidi yuko vzr wangemnunua kama duni.
  13. A

    Magari yatapakaa kukusanya watu mitaani kuwapeleka uwanja wa jamuhuri

    Hivi Mimi nauliza swali watu wa ukawa kwenda na magari tatizo nini inategemea mtu anakaa wapi sasa ulitaka mtu atembee kwa miguu mpaka uwanja .cha msingi magufuri ameongea nini sio watu wamekuja na nini ,harafu hizo picha zote kura maana naona wamevaa kijani tu.
Back
Top Bottom