Recent content by Administer

 1. A

  Mbinu za motisha kwa walimu, kuajiri Walimu kutoka shule binafsi na kambi za kitaaluma zapelekea Simiyu chini ya RC Mtaka kuendelea kielimu

  Huku kwetu walimu na viongozi ni simba na chui matokeo yake elimu iko chini
 2. A

  BAVICHA leo saa 5 kutangaza msimamo wao kuhusu Wabunge 19 wa Viti Maalum

  M Mdudu mdee lazima adulubiwe,fedha na madaraka ndiyo chanzo kikuu
 3. A

  BAVICHA leo saa 5 kutangaza msimamo wao kuhusu Wabunge 19 wa Viti Maalum

  NINYI PIA MSIJE MKAPEWA FEDHA AU MADARAKA ,WANASIASA MNAYUMBISHWA NA MATUMBO YENU
 4. A

  Mwanasiasa mpe fedha au madaraka

  Ukitaka kujua msimamo wa mwanasiasa au mtu mwingine yeyote apate majaribu kwanza.Hata mimi ninayeandika ukitaka kujua msimamo wangu katika jambo fulani nipe majaribu. Sijui ni Tanzania tu au na kwingineko haya yanatokea.Unaweza kumsikiliza mwanasiasa fulani kwa misimamo yake,ukajiridhisha kweli...
 5. A

  Saa ishirini na nne za Nusrat kutia doa Mihimili mitatu ya Nchi

  MUNGU HAWEZI KUBARIKI UONGOZI WOWOTE WA KURA ZA WIZI
 6. A

  Saa ishirini na nne za Nusrat kutia doa Mihimili mitatu ya Nchi

  NUSRAT NI PICHA LA KIHINDI
 7. A

  Saa ishirini na nne za Nusrat kutia doa Mihimili mitatu ya Nchi

  Kuna watu wamedhamiria kuinajisi TANZANIA
 8. A

  Viongozi CHADEMA Mungu awatie moyo

  Mimi nina kazi serikalini lakini huwa sipendi kuona upande fulani ukihujumiwa wazi wazi hata kama serikali hiyo inanipa salary
 9. A

  Viongozi CHADEMA Mungu awatie moyo

  Viongozi CHADEMA mmepambana na changamoto kubwa sana kutoka utawala huu wa CCM,endeleeni kufanya maamuzi sahihi kwa maslahi ya chama. Sijawahi kuchukizwa kwa maamuzi mbalimbali mliyoyafanya kwa mwanachama aliyeikosea CHADEMA ,mliwaadhibu wakosefu ipasavyo na kwa haki hila kujali nafasi zao...
 10. A

  Gharama za kujenga nyumba simpo ya vyumba 4

  N Ni kweli mkuu hiyo ni nyumba kubwa
 11. A

  Chokaa na gypsum powder ipi bora?

  Naomba uzoefu wenu juu ya vitu hivyo viwili, katika kuskimu ukuta nini kitumike kati ya hivyo viwili ili kuleta uimara katika kupaka rangi.
Top Bottom