Recent content by Adjuss

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mfanya usafi ofisini

    Muda wa kazi ni kuanzia saa 1:30 hadi 5:00 asubuhi. Lunch time inakuwa haijafika hivyo hapana. Usafiri pia hapana
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mfanya usafi ofisini

    Karibu
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mfanya usafi ofisini

    Wakuu, Kuna nafasi ya kazi kwa mwanamke(temporary)ya kufanya usafi ofisini. Ofisi ipo Victoria/Regent Estate mtaa wa Migombani karibu na NEMC au Kairuki hospital. Muda wa kazi ni kuanzia saa moja na nusu asubuhi na kutoka ni saa 5asubuhi. Mshahara ni 150,000 kwa mwezi. Kwa anayehitaji naomba...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Vacancy announcement-Assistant Bookkeeper

    Wakuu, Fursa hiyo,wenye sifa tajwa tuchangamkie
  5. A

    JamiiForums Tanzania Loan officer-2 posts

    VACANCY ANNOUNCEMENT LK Microfinance is a registered Micro Credit company in Tanzania located at Win Win Shopping centre, Mbezi Beach, Plot No157, Kinondoni Municipality, Dar es Salaam. The company hereby invites applications from competent and experienced personnel to fill two vacant...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Msaada Daktari bingwa wa moyo kwa watoto

    Poa poa. Asante sana Mkuu
  7. A

    JamiiForums Tanzania Msaada Daktari bingwa wa moyo kwa watoto

    Asante mkuu
  8. A

    JamiiForums Tanzania Msaada Daktari bingwa wa moyo kwa watoto

    Habari wakuu. Msaada tafadhali kwa anayefahamu daktari bingwa wa moyo kwa watoto (cardiologist) naomba mawasiliano yake au jina na hospital anayopatikana. Natanguliza shukrani.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Msaada Daktari bingwa wa moyo kwa watoto

    Habari wakuu, Msaada tafadhali kwa anayefahamu daktari bingwa wa moyo kwa watoto (cardiologist). Naomba mawasiliano yake au jina na hospital anayopatikana. Natanguliza shukrani.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Afisa Mikopo

    Kuna nafasi ya kazi ya afisa mikopo kwenye ofisi ya Microfinance. Ni ofisi ambayo ndo inaanza kutoa huduma ya mikopo midogo midogo hivyo inahitaji mfanyakazi mwenye elimu ya diploma ya finance,Marketing, Accounting au Business Administration. Muombaji anatakiwa awe amewahi kufanya kazi kama...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Treadmill used inauzwa

    Nausea treadmill 500,000 TZS, good as new.Imetumika mwaka mmoja tu.Kwa mnunuzi njoo PM.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Sheria Mpya ya Fao la kujitoa (Withdrawal benefits) ya 2015 kwenye mifuko ya jamii ni pigo

    Wanajamii naomba msaada kwa mwenye Sheria ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Na.5 ya mwaka 2012 anisaidie.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Nyumba mpya ya kupanga ya kisasa vyumba 3 inahitajika Singida

    Mkuu KAKA YAKO NAPITA, Isuna hapana ninahitaji Singida mjini eneo zuri kama maeneo ya Singidani,kifupi nahitaji sehemu ambazo kuna nyumba nyingi za kisasa.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Nyumba mpya ya kupanga ya kisasa vyumba 3 inahitajika Singida

    Mkuu Omunga,naweza kupata picha za hiyo nyumba kwa whatsapp?
  15. A

    JamiiForums Tanzania Nyumba mpya ya kupanga ya kisasa vyumba 3 inahitajika Singida

    Habari zenu wakuu, Inahitajika nyumba ya kisasa ya kupanga Singida. Vyumba vitatu,kimoja selfcontained,public toilet,jiko,sebule,yenye tiles,paving blocks, uzio na geti.
Back
Top Bottom