Recent content by adilikan

  1. A

    JamiiForums Tanzania Hatima ya uchaguzi wa 2020 kwa CCM na Upinzani iko mikononi mwa Lowassa

    Kumbe vyombo vya usalama vina kazi yakumlinda rais asipate upinzani ndani ya chama
  2. A

    JamiiForums Tanzania Hatima ya uchaguzi wa 2020 kwa CCM na Upinzani iko mikononi mwa Lowassa

    Hasira za nn sasa
  3. A

    JamiiForums Tanzania Waziri Kigwangalla afanyiwa maombi na wazee wa kimila na waganga wa kienyeji

    Sio uchawi,tofautisha tambiko,zindiko,uganga,ushirikina na uchawi
  4. A

    JamiiForums Tanzania Adhabu kali zilizowahi kutolewa duniani

    Kifo cha msalaba kilikuwa ni moja ya kifo kbaya na chakikatili zaidi kilicho kuwa kinatolewa kwa watu wenye makosa makubwa yenye kustahili kifo kwenye baadhib ya majimbo ya roman empire, haikuwa tu mtu kuchapwa fimbo,ila kabla ya kutundikwa ulichapwa kwanza mijeledi yenye vipande vya vyuma kama...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Adhabu kali zilizowahi kutolewa duniani

    Mkuu mbona huja leta huo uzi,twasubir h
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ibn Khaldun (1332-1406) na kodi

    Kati ya hayo mengi aliyo ya sema na kuyafanya isisahau huyu Mohamed Akhemed ibn khaldun no mwanafalsafa na reformer Mkubwa wa Imani ya kiislam,cha kufurahisha reformers wa imani kubwa duniani wametoka Afrika akiwepo reformer wa Dini ya katoliki Sent Augustine Bishop of Hippo raia wa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Siasa na tabia zake 10 na kila mtawala na ya kwake anayoamua kuichagua inaweza kuwa furaha au uchungu kwa Raia wake

    Hayo majina ya siasa na demokrasia ni tafsir rasmi au isio rasmi
  8. A

    JamiiForums Tanzania Adhabu kali zilizowahi kutolewa duniani

    Adhabu ya msalaba ilikuwa in adhabu ya kifo yawarumi pia wayahudi ,ilitolewa kwa watu wengi sio Yesu peke yake wrote walio onekana waasi walitundikwa msalaban hata Petro pia aliuliwa kwa kutundikwa msalaban kichwa chini miguu juu huko rumi
  9. A

    JamiiForums Tanzania Tukiwa na Katiba nzuri, yeyote anafaa kutuongoza!

    Hata ikiwa nzuri vpi kama anae ongoza hajamua kuifuata,huwez kuaona umuhimu wa hyo katiba.Uongoz ni hekima ukiwa nayo hat bila hayo mandish unaeza ukaongoza vyema
  10. A

    JamiiForums Tanzania Huyu atafaa kuwa Rais lakini si Membe, Lowassa, Makamba na Makanjanja wengine

    Mmh utata mtupu
Back
Top Bottom