Recent content by Adili

 1. A

  Hatimaye Julius Malema atia neno kuhusu Magufuli

  Uchumi wetu utakua kwa pongezi za Malema kwa JPM au uliimaanisha nini?
 2. A

  How the Dreamliner is Killing Tanzanians dream?

  Tungekosa pia pa kuzi-park:)
 3. A

  How the Dreamliner is Killing Tanzanians dream?

  Spoken with tongue in cheek?
 4. A

  Rais Magufuli aenda kuhani msiba wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha CUF, James Mapalala

  Marehemu James Mapalaa ni mzaliwa wa wilaya gani?
 5. A

  Ifahamu Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo

  Kipo mkoa wa Kagera kwa sasa na kipo njiani kuhamishiwa mkoa wa Geita.
 6. A

  Nampenda sana huyu

  Unasumbuliwa na Magufulimania.
 7. A

  Njia alizotumia Mchechu kuongoza NHC zilikuwa batili. Shirika lilitakiwa liwe limekufa mapema

  Swali gumu! Jibu litategemea mkopaji ana uhusiano gani na wakazi wa mjengoni.
 8. A

  The SGR, War, MAGUFUGAME Kidedea, MUSEVENYATTA Mikono Juu Kukubali Matokeo!, Magufuli Shujaa, Apiga Bao Kupiga Tanchi!. Hongera JPM Kwa Kuona Mbali!.

  Pili, SGR ifike mpakani kabla ya kufika Mwanza? Mbona Isaka-Mwanza-Entebbe/Portbell/Jinja ni karibu zaidi kuliko Isaka-Kigali-Kampala?
 9. A

  Membe, January na Nape ni pete na kidole, Rais kuwa makini

  Mkuu ungetusaidia kwa kuanika unafiki wao ili nasi tutenge pumba na mchele.
 10. A

  Huu ni Utumwa na Sio Utumishi wa Umma: Rais Magufuli awaita Mainjinia Vilaza, Wapumbavu

  Mtukufu raisi amesema "Ndani ya utawala wangu......" Yeye siyo kiongozi bali mtawala. Angekuwa kiongozi asingetukana.
 11. A

  Mshukuru sana mikutano ya siasa ilivyopigwa marufuku maana idadi ya kupotea ingekuwa kubwa sana

  Hii ni dizaini mpya ya ku-save muda kwa kujibu bila kujibu!!
Top Bottom