Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,920
- 7,469
kwani inatengeza cyclesNmeiona hii kule BBC watu wanahoji hiyo SIJIARA ya Kenya kwamba ni kama haina eneo maalumu inakoelekea.

hivi kumbe kuna umoja wao wa mangosha huwa wana vikao?Sawa P Ila apunguze UJIWE. Mwambie mkikutana huko kwenye vikao vya kingosha
Paskali,Wanabodi,
Kidedea!, Hongera JPM Kwa Kuona Mbali!.
Baada ya SGR ya Kenya kuanza, kabla hata haijavuka Kenya, huku Tanzania akaingia madarakani Mzee wa Kazi, JPM, na ziara yake ya kwanza ilikuwa ni kwenda Rwanda. Akarudi na a firm commitment ya Kagame kuwa SGR ya Tanzania, ndio itafika Rwanda
Hitimisho.
Kiukweli kabisa, huu mtindo wa Rais Magufuli kupiga tanchi, sometimes ni mtindo mzuri na kuona mbali, huenda hata hii midege, alio inunua kwa kupiga tanchi; nako ni kuona mbali, mbele ya safari ikaja kuzalisha faida ya ajabu?.
Hongera Magufuli shujaa, uliona mbali.
Pili, SGR ifike mpakani kabla ya kufika Mwanza? Mbona Isaka-Mwanza-Entebbe/Portbell/Jinja ni karibu zaidi kuliko Isaka-Kigali-Kampala?Mkuu, nipe issues. Kwa nini Mwl. Nyerere alipenda reli ya kati iliyojengwa 1905 iendelee kuishia Isaka? Lakini lilipokuja suala la TAZARA, ikaishia Zambia ( Kapirimposhi)?
Hivi ni mizigo gani hiyo itabebwa na SGR kwenda au kutoka Rwanda ili tupime kama ni bao lenye mchongo.
Ahahahahahah! Mkuu umenichekesha kwamba Yerico Nyerere akauze vitabu huko! Tena sio vitabu tu; Vya kijasusi!!! Ahahahahaha! Anajiita jasusi lakini mpaka leo hajui Saanane yuko wapi!Kauze vitabu vyako vya buku buku ulale
Hata huko Kenya SGR imeshindwa kufika hata Naivasha na huenda isifike
Mwaka wa uchaguzi huu na ujao, kuna watu wana bidii kweli kweli. Si mchezo.
mimi ni CCM!Kwa kipi hasa? Unajua kwamba Kenya sasa hivi wanalia kwa uhuni ukiofanyika kwenye huu mradi?
Au ndio mahaba yanakuzidi hadi kipindi kile mlienda chadema nzima kumpigia kampeni?
😯🤫Based on my intellectual capacity and my vast knowledge ,tactically and tentatively ,right from the beginning of times especially in the light of Ecclesiastes evolution I have come to a concrete,definite and profound conclusion that I actually have nothing to say ,thankyou.
Paskali katika ubora wake wa kusifiaWanabodi,
Huu ni uzi wa kuzungumzia vita ya The SGR, War, kati ya majeshi yayoutwa MAGUFUGAME yaliyoubuka Kidedea, dhidi ya majeshi pinzani ya MUSEVENYATTA ambayo yamepata kipigo hadi kunyanyua Mikono Juu Kuomba Po!, na Kukubali Matokeo!, Rais Magufuli ni Rais Shujaa Muona Mbali, , Baada ya zile Tanchi za Ndege, Apiga Tena Bao la Kisigino kwa Kupiga Tanchi ya SGR!. MUSEVENYATTA, Hoi, MAGUFUGAME Kidedea!, Hongera JPM Kwa Kuona Mbali!.
Ili uweze kulifaidi bandiko hili na kujua nazungumzia nini, anzia kwanza kwenye bandiko hili ili kuijua kwanza hiyo vita ya MAGUFUGAME vs MUSEVENYATTA ni vita gani na wanapigania nini?
The SGR War: MagufuliKagame vs MuseveniKenyatta ni Vita Kubwa!. Who Will Win, Loose or Its Win Win Situation?.
Baada ya Rais Kagame na Rais Magufuli, kukubaliana kujenga reli ya SGR kutoka Isaka kwenda Kigali, ili mizigo yote ya Rwanda, ipitie bandari ya Dar es Salaam, Isaka hadi Kigali, Rwanda, kitu ambacho kingepunguza kuitegemea bandari ya Mombasa, huku rais Museveni na na rais Kenyatta, nao...www.jamiiforums.com
Kwenye MAGUFUGAME VS MUSEVENYATTA, Hoja zilikuwa ni hizi...
1. Ili SGR ilete faida, reli hiyo has to pass through nchi moja kwenda nchi nyingine.
2. SGR ya Kenya Imeanzia bandari ya Mombasa ilikuwa ipite Uganda.
3. Na SGR ya Uganda ilikuwa itoke Kenya ipite Uganda hadi Rwanda na ilikuwa igharimiwe na Wachina.
4.Baada ya SGR ya Kenya kuanza, kabla hata haijavuka Kenya, huku Tanzania akaingia madarakani Mzee wa Kazi, JPM, na ziara yake ya kwanza ilikuwa ni kwenda Rwanda. Akarudi na a firm commitment ya Kagame kuwa SGR ya Tanzania, ndio itafika Rwanda
5. Uamuzi huu wa MAGUFUGAME, ulipelekea kizungumkuti kambi ya MUSEVENYATTA, hatua ya kwanza ni China kujitoa ku fund SGR ya Kenya, hivyo sasa SGR ya Kenya itaishia, Naivasha, that is the end of the road kwa SGR ya Kenya, hivyo sasa kuwa the biggest white elephant project in Kenya, kujilipa ni miujiza. Leo ndio Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amenyanyua mikono yake juu, na kukubali kupigwa bao na Tanzania, kwa kukubali kuwa sasa SGR ya Kenya itaishia Naivasha hivyo haiwezi kutengeneza faida, wala kujilipa.
6. Hivyo sasa sijui kama Museveni atajenga tena hiyo SGR yake, ikijengwa, itajengwa ili kupeleka wapi mzigo?.
Hitimisho.
Kiukweli kabisa, huu mtindo wa Rais Magufuli kupiga tanchi, sometimes ni mtindo mzuri na kuona mbali, huenda hata hii midege, alio inunua kwa kupiga tanchi; nako ni kuona mbali, mbele ya safari ikaja kuzalisha faida ya ajabu?.
Nani alijua kwanini Magufuli amekwenda Rwanda, akahamisha SGR ya Rwanda kupitia Tanzania. Alipokwenda Uganda, huko nako akapiga tanchi, Bomba la Mafuta la Uganda ambalo lilikuwa lipite Kenya kutumia Bandari ya Mombasa, sasa litapita Chongoleani, Tanga, Tanzania na kutumia Bandari ya Tanga.
Hii SGR ya Tanzania to Rwanda ikikamilika, Bandari ya DSM ndio itakuwa Bandari Kiongozi kwa nchi za Afrika Mashariki, kama SGR ikifika Rwanda, then Mzigo wa Uganda utafika mapema zaidi Uganda ukipitia Bandari ya DSM kuliko ukipitia Bandari ya Mombasa, kwasababu SGR ya Kenya inaishia Naivasha, SGR ya Tanzania inaishia Kigali, ni rahisi zaidi kutoa mzigo Kigali kupeleka Kampala kuliko kutoa Naivasha to Kampala, hivyo uamuzi wa Rais Magufuli kujenga SGR ya Tanzania hadi Kigali, umeipiga bao SGR ya Kenya na SGR ya Uganda. Hongera Magufuli shujaa, uliona mbali.
Paskali.
Rejea
Reli ya SGR: Je, Tujifunze kwa wenzetu Kenya kuepusha SGR yetu kuwa ‘A White Elephant’? Wenzetu yameshawakuta...
Wanabodi Kuna msemo usemao "ukiona mwenzako ananyolewa, wewe tia maji tia maji" Tanzania tunajenga reli ya SGR, wenzetu Kenya wametangulia, ila reli yao imeanza kwa kuwa ni a white elephant. Jee kuna haja ya sisi Watanzania tujifunze kwa wenzetu, kuiepusha reli yetu kuwa tembo mweupe, au wao...www.jamiiforums.com
acha uongo wewe.. fuatilia vizuri ujue kwanin SGR kwa sasa inaishia Naivasha. Kuna kesi Court na jamii ya wamasai, ikiisha, mradi unaendela kama kawaida.Wanabodi,

Mkuu punguza ushabiki.Wanabodi,

Wanabodi,

Mkuu, nipe issues. Kwa nini Mwl. Nyerere alipenda reli ya kati iliyojengwa 1905 iendelee kuishia Isaka? Lakini lilipokuja suala la TAZARA, ikaishia Zambia ( Kapirimposhi)?
Hivi ni mizigo gani hiyo itabebwa na SGR kwenda au kutoka Rwanda ili tupime kama ni bao lenye mchongo.
Mbeba mikoba wa Mbowe, mwaka huu mtapata shida balaa...kuna mwanaume amekamata nchi lazima mkose hojaDaah ni wewe Pasco au uko baa mida hii mkuu? Umeandika kishabiki na kivigeregere zaidi bila kueleza ama kuchambua kwa fact, mengi uliyoandika ni dhahania tu kwamba "mradi huu ama ule ukikamilika tutakuwa tumepiga bao", Hii kwa mchambuzi mzoefu kama Pasco hukutakiwa kufanya huvyo mkuu.
Hivi tunavyozungumza SGR hata Morogoro haijafika, kisha unajadili na kutoa hitimisho SGR kufika Kigali???
Kenya wamezindua mradi wa pili wa SGR wako vitani na wanapigana kwa umakini bila miruzi mingi na makelele kama nyie huu Bongo
Hivi hujui rwanda ,Congo na Uganda ndio wanapitisha mizigo hapa au unajitoa ufahamu
Rais wa Congo alipokuja hapa aliomba zoezi hilo liharakishwe ili Congo inufaike kwa mizigo yako kupokelewa kigari ambapo ni karibu baada ya kutoka hapa alikuwa kigari juu ya kuharakishwa kwa ujenzi huo
Kwa hili jpm amepiga bao la kisigino Dk 90 hakuna wa kupindua meza
Rwanda ni ya 3 kwa kupitisha idadi ya Mizigo hapo bandari ya Dar ikitanguliwa na Congo na Zambia.
SGR ikifika Rwanda kutakua na dry port ambayo itakua inashusha mizigo hapo Kigali inapakuliwa na kupelekwa Eastern Congo(huko kuna population kubwa) na itapelekwa na Burundi pia.
So technically tutakua tunahudumia nchi 3 kwa mpigo(Rwanda,Burundi na Congo).