Recent content by Adejohn

  1. Adejohn

    Natafuta mpenzi mwenye moyo wake

    Hello! Samahanini jaman mie naitwa ade am single and ntafurah sana kama ntampata ❤️my oxygen*... apa. By the way; naishi Dar es salaam, Umri wangu n miaka 24, Nina mtoto mmoja ila Bad luck baba yake alifariki Dunia🥺. So nahitaji faraja na mwanaume wa kuspend nae na kutengeneza maisha...
  2. Adejohn

    Jinsi ya kupata masoko kwa upande wa Export Bandarini Dar

    Habari za saiz wapendwa samahanini nimemaliza chuo lakin nmepata kazi ambayo sijaisomea. Nimeitwa kwenye interview ya marketing officer kwenye bandari apa dar es salaam, upande wa Export lakin sifahamu jinsi gani naweza isaidia kampuni kuongeza masoko! Pia atakama nitapewa mafunzo na kampuni...
  3. Adejohn

    Nafasi za kujiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)

    Wanakubali nikiwambia ni mshono wa kuzaa? Na ni miezi mingapi mafunzo ya mujibu wa sheria
  4. Adejohn

    Nafasi za kujiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)

    Sawa wa mujibu wa sheria ni muda gan mafunzo Yao nao ni miaka miwili? na je nikimaliza si naweza kuwa ata usalama wa taifa au
  5. Adejohn

    Nafasi za kujiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)

    Mimi ni muhitimu wa degree lakini nna mtoto na nimezaa kwa operation vip kama ntaingia kundi la mujibu wa sheria watakubali? au jwtz watakubali
  6. Adejohn

    Nafasi za kujiunga na mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)

    VIPI kwa mwanamke aliyezaa kwa operation anaweza kukubaliwa kama ana moyo wa uzalendo? Au Kuna jeshi lingine anaweza omba nafasi?
  7. Adejohn

    Natafuta internship au kujitolea popote

    Habari za saizi jamani samahanini mimi ni mwanamke miaka 24, nimemaliza chuo Bachelor of Business Adminstration mwaka huu. Natafuta internship au kujitoleapopote kampuni au kiwandani nipo tayari kuanza muda wowote ata sasa napatikana Dar es Salaam
Back
Top Bottom