Pole sana dadangu,,,Mambo kama hayo huwa yanatokea sana kwa wadada na si kwa wakaka kama ilivyo kwa mpenzi wako,Nadhani huyo kahisi wewe unampenda kuliko yeye anavyokupenda, na kwamba huwezi kuishi bila yeye,,mwambie kwa busara tu kuwa "Love is a two-way traffic responsibility" nadhani...