Recent content by Addllicious

  1. Addllicious

    Mdogo wangu anapenda kula mananihii... Hii ikoje wadau!!

    pole sana kaka huyo atakua anatatizo la psychology so cha msingi mpeleke hospital akaonane na madaktar wa magonjwa ya akil atasaidiwa tatizo lake usichelewe Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
  2. Addllicious

    Kulamba na kunyonya sehemu za siri za Mwanamke kuna madhara makubwa kiafya

    kunamadhara tena makubwa tu achen kuiga vitu msivyojua madhara yake Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
  3. Addllicious

    Kulamba na kunyonya sehemu za siri za Mwanamke kuna madhara makubwa kiafya

    Epuka sana kwani kunamadhara tena makubwa tu,achen kuiga vitu msivyojua madhara yake Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
  4. Addllicious

    Msaaada kuusu chanjo za watoto especially kwa medical personel

    hivi ikitokea mtoto kachomwa DPT-Heb-Hib paja la kulia badala ya kushoto na PCV paja la kushoto badala ya kulia kuna madhara gan Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
  5. Addllicious

    Msaada tatizo la Ngozi ya miguu na mikono kuwa kavu, na kukakamaa na kupasuka

    Jaman nina ndugu yangu ni miaka mingi sasa amekua akisumbuliwa na tatizo hili kama mtu anafahamu dawa au ushauri amsaidie
  6. Addllicious

    Kutoka ute mwekundu ukeni

    pole sana muwahishe hospital
  7. Addllicious

    Hii kitu inanitisha Sana

    dah pole nenda hospital kufanya uchunguz
Back
Top Bottom