Addllicious Member Jan 11, 2017 7 2 Mar 4, 2017 #1 Jaman nina ndugu yangu ni miaka mingi sasa amekua akisumbuliwa na tatizo hili kama mtu anafahamu dawa au ushauri amsaidie
Jaman nina ndugu yangu ni miaka mingi sasa amekua akisumbuliwa na tatizo hili kama mtu anafahamu dawa au ushauri amsaidie
bhachu JF-Expert Member Jul 29, 2015 8,417 9,803 Mar 4, 2017 #2 Akazane kupata Vitamin A na C, azingatie maji tena