Kutoka ute mwekundu ukeni

mkazjr

Member
Jan 27, 2017
9
4
Habari za kutwa wapendwa
Naomba msaada mkewangu anatoka ute ulochanganyikana na damu hali hii utokea pindi yuko kwenye siku za hatari na uambatana na maumivu ya tumbo naomba kujua kama hari hii ni ya kawaida au ni ugonjwa?
 
Back
Top Bottom