Recent content by Addes_Tech_School

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya kutosajiliwa ERB wanafunzi ambao tumesoma course za Technical Education Mbeya University

    Ndio ni engineer kwani kwanini asisajiliwe we zwezwe kweli
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa Technical Education in Engineering MUST tunakabiliwa na changamoto kubwa ya kutotambuliwa kitaaluma ipasavyo

    Sawa Hawa washakosea vp Hawa ambao wanazidi kupokelewa na kuwa enrolled chuoni ... course ni nzuri lkn waruhisiwe kupractice engineering
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Marketing ya Course ya Technical Education in Engineering chuo cha Mbeya haina ajira mtaani

    Ni best course ever but mapokeo mtaani na sehemu za kufanyia field ndo bado Kuna resistance wanahisi they are only Teachers in reality they are engineers too
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Marketing ya Course ya Technical Education in Engineering chuo cha Mbeya haina ajira mtaani

    Sio upotoshaji ni just tu encourage students taking the course kuwa wako sehemu sahihi wa-focus. Na pia issue ya marketing I understand Ni best course ila upokeaji mtaani bado Kuna resistance Fulani hivi hasa kwa makampuni
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahadhiri MUST wenye shahada ya kwanza wanafundisha mpaka wanafunzi wa mwaka wa nne

    Sure I wish someone talks on this some are just graduates of DIT and UDSM
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahadhiri MUST wenye shahada ya kwanza wanafundisha mpaka wanafunzi wa mwaka wa nne

    Electrical and Electronics engineering and related staffs
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahadhiri MUST wenye shahada ya kwanza wanafundisha mpaka wanafunzi wa mwaka wa nne

    For sure department ya EPE wanazingua
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahadhiri MUST wenye shahada ya kwanza wanafundisha mpaka wanafunzi wa mwaka wa nne

    Assignment za kutosha zisizo na marks, pengine kufanya assignment hiyohiyo Mara kibao, miosho mingi ,test zisizo na uhalisia wa kinachofundishwa n.k
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Marketing ya Course ya Technical Education in Engineering chuo cha Mbeya haina ajira mtaani

    Technical Education in Engineering ni course inakuwa offered hapa chuo cha must Mbeya lakini mtaani haitambuliki marketing yake ni ndogo mno ni ngumu kupata ipo kwa wanafunzi wanaosoma Technical Education tunaomba marketing associations zisaidie wanafunzi wamekata tamaa kabisa.
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahadhiri MUST wenye shahada ya kwanza wanafundisha mpaka wanafunzi wa mwaka wa nne

    Chuo cha MUST kina vijana wahadhiri wengi wameishia degree ya kwanza wanafundisha mpaka mwaka wa nne uhandisi. Ni wasumbufu mno wanachosha. Ingependeza waishie kufundisha mwaka wa kwanza basi . Tunachoka
Back
Top Bottom