Recent content by add101

  1. A

    Kiwanja Buyuni kinauzwa haraka

    mamii nipigie simu, tuongee tuone kama tunaweza kufkia maelewano. Asante.
  2. A

    Kiwanja Buyuni kinauzwa haraka

    Natafuta mteja haraka iwezekanavyo ni kiwanja changu mwenyewe, kipo buyuni block 4 Chanika, karibia na kota za PSPF kina hati 99 years (title deed & offer) size sqm 1586, bei million 18 maelewano yapo. kama ni serious buyer, nicheki 0714 313 621, nikutumie picha on whatsapp. Dalali haruhusiwi...
  3. A

    Natafuta kiwanja Goba

    Nauza kiwanja kina title deed sqm 1586, kipo block 4 buyuni chanika, million 17 tu, maelewano yapo.
  4. A

    Plot zenye hati zinauzwa Pugu Buyuni

    ipo kwa PDF FILE
  5. A

    Plot zenye hati zinauzwa Pugu Buyuni

    Vipo vitatu , vipo ndani ya mradi vyote ni sqm 1500,vina title deed na offer vipo karibu na pspf estate site plan yake ndo kama inavoonekana kwenye picha. asking price ni 25million, maelewano yapo. piga 0714870410 dalali hatakiwi kabisaaaa
  6. A

    Open Letter to Mr. President - Dr. Jakaya Mrisho Kikwete

    The author of this article gotta be a desperate black shirt opportunist. I thumb it down.
  7. A

    Natafuta Original Samsung galaxy series.

    Nipe 185000 nikupe galaxy young S5360 original mpyaaa Ndani ya box
  8. A

    kiwanja kinauzwa sqm1886

    Habari zenu wakubwa Plot inauzwa pugu buyuni, kimepimwa kina hati na documents zote za wizarani, ukubwa ni sqm 1886 bei 35million, price can be negotiated too. Dalali haitajiki. kama utahitaji, ni pm
  9. A

    Plot inauzwa Pugu Buyuni/plot for sale at pugu buyuni

    Habari zenu wakubwa Plot inauzwa pugu buyuni, kimepimwa kina hati na documents zote za wizarani, ukubwa ni sqm 1886 bei 35million, price can be negotiated too. Dalali haitajiki. kama utahitaji, ni pm
  10. A

    Pregnant Ciara Flips Backward In Dance Move

    Baba wa mtoto anaitwa FUTURE ni mwanamziki nae
  11. A

    Simba wa holywood na maisha ya gharama

    ANAMILIKIWA NA LOS ANGELES ZOO............that means zoo, ndo wanakula faida hapo.
  12. A

    Simba wa holywood na maisha ya gharama

    Mkuu, MGM..... ni kampuni ya kutengeneza Movie, marekani, especially animation.......kama tom & jerry na kadhalika huyu simba wanayemtumia kama nembo ya kampuni yao, ameishi tangu miaka ya 1950, mpaka sasa wanamtumia kama nembo yao, simba huyu analipwa pesa ndefu mnooo, karibia milion 400...
Back
Top Bottom