Recent content by ADC Party

  1. ADC Party

    Uchaguzi 2020 Mgombea Urais kupitia ADC, Bi. Queen Cuthbert Sendiga apiga kura. Asema Uchaguzi ni shindano na amejiandaa kupokea matokeo

    Mgombea Urais wa JMT kupitia Chama cha ADC, Queen Cuthbert Sendiga amepiga kura katika Kituo cha Ununio jijini Dar es Salaam ambapo amesema amejiandaa kwa namna yeyote. Amesema, "Nikishinda nitashukuru kwasababu nitapata ile fursa kubwa ambayo nimekuwa na hamu ya kuipata ili niweze kuwatumikia...
  2. ADC Party

    Uchaguzi 2020 Queen Sendiga: Mkutano na waandishi wa habari

    Mgombea Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Queen Cuthbert Sendiga kesho saa nne kamili katika makao makuu ya chama Buguruni Rozana . Mnakaribishwa wote.
  3. ADC Party

    Uchaguzi 2020 Queen Sendiga kuhakikisha wananchi wa mkoa wa Tanga wananufaika na zao la mkonge

    Mkoa wa Tanga ni moja ya miji mikongwe na yenye kila aina ya rasilimali. Ukiacha ardhi Bora,madini, bahari misitu ya asili mkoa wa Tanga ni maarufu kwa zao la mkonge,licha ya umaarufu wa zao Hilo na faida zake kwa wakulima na Taifa bado wananchi wa mkoa wa Tanga hawana faida na mkonge kwa miaka...
  4. ADC Party

    Uchaguzi 2020 Queen Sendiga: Akiwa wilaya ya Handeni mkoa wa Tanga

    Michungwani. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi Queen Cuthbert Sendiga Akipewa na kupokea zawadi ya chungu cha udogo na wananchi wa Michungwani wilaya ya handeni kama mfano wa kwenda kuwatengenezea maisha ya miloo mi 3 kwa siku, ambayo kwasasa kwao ni kama ndoto katika maisha...
  5. ADC Party

    Uchaguzi 2020 Arusha mjini: Queen Sendiga aendelea na kampeni za kiti cha Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania

    Tunachimba madini hapa na kuuza nje,pesa imayopatikana kwa wachimbaji na serikali sio kubwa Kama tungekua na kiwanda cha kuprocess madini hapa kwetu, nikipata nafasi ya kuongoza nchi hii serikali ya ADC itajenga kiwanda kikubwa ili kuongeza thamani ya madini yetu tuuze kwa Bei kubwa zaidi...
  6. ADC Party

    Uchaguzi 2020 Queen Sendiga aahidi kujenga chumba cha kuhifadhia maiti haraka sana wilaya ya Arumeru patandi

    Mgombea wa Urais Kupitia chama cha ADC Mh Queen Cuthbert Sendiga leo hii ameahidi kujenga chumba Cha kuhifadhia maiti haraka sana katika hosp ya wilaya ya Arumeru (Patandi) endapo atapatiwa nafasi ya kuwa rais wa nchi hii ikiwa ni utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya ADC yenye sera ya maboresho...
  7. ADC Party

    Uchaguzi 2020 Queen Sendiga aendelea na Kampeni zake Manyara - Mjini Babati leo

    Kilio cha wakulima wa mkoa wa Manyara ni kushuka Bei kwa mazao yao Kama mbaazi, maharage na mahindi.ADC ukipata ridhaa kwa wananchi inafanya maboresho ya sekta ya kilimo pamoja na kurudisha hadhi ya mazao yote makubwa yaliyoipa sifa nchi hii Kama pamba, mahindi, korosho, karafuu, kahawa chai na...
  8. ADC Party

    Uchaguzi 2020 Queen Sendiga aahidi kuneemesha uhusiano na sekta binafsi

    Nitaboresha urafiki na sekta binafsi ili kuzidi kukuza uchumi wa ndani, fursa za kutosha katika mkoa wa singida ikiwemo kilimo ili vijana waweze kunufaika. ''Kwa sasa sekta binafsi na serikali kumekua na uadui japo wanacheka kwa nje ila ndani wana maumivu, idadi ya makampuni ambayo yanafunga...
  9. ADC Party

    Uchaguzi 2020 Queen Sendiga baada ya Mbeya arudi Iringa kukamilisha Kampeni zake zilizoharibika wiki iliyopita kutokana na vurugu zilizotokea

    Moja ya mikoa iliyobarikiwa ardhi yenye rutuba na Hali ya hewa ya kurutubisha mazao ya biashara kama nyanya,vitungui,mahindi na mbogamboga ni Iringa, lakini mazao haya yanaonekana maeneo mengi ya mashambani na sokoni yakioza kwa kukosa soko la kutosha na hii inazidisha Hali ya umaskini kwa...
  10. ADC Party

    Uchaguzi 2020 Queen Sendiga: Njombe mnahitaji maji safi na salama na yenye uhakika

    Mungu ni mwema anaendelea vizuri , majeruhi wawili ambao ni wasaidizi wa kampeni nao wanaendelea vizuri , tumeweza kuingia Mkoa wa Mbeya ,wilaya Njombe na kufanya mikutano kwa usalama. Tunazidi kukemea vitendo hivi maana vinachafua Utanzania na utu wetu .
  11. ADC Party

    Uchaguzi 2020 Queen Sendiga: Njombe mnahitaji maji safi na salama na yenye uhakika

    Njombe leo: Maji ni uhai, mkoa wa njombe ni moja ya mikoa mikubwa katoka nchi yetu, mbali ya kusifika kwa ardhi nzuri inayostawisha mazao mengi ya biashara ikiwemo chai na miti. Lakini bado inakabiliwa na changamoto ya maji Safi na salama licha ya kuwepo kwa maporomoko ya maji milimani bado...
  12. ADC Party

    Uchaguzi 2020 Queen Sendiga aendelea leo na Kampeni za Urais jijini Dar esSalaam kwa kumuenzi Baba wa Taifa

    Leo mgombea urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,kupitia chama cha ADC ameendelea na kampeni zake katika Viwanja vya Bakhresa Manzese ,Jimbo la ubungo. Leo ni siku ya furaha na masikitiko pia kwa taifa zima,watanzania wote kukumbuka siku ambayo Baba yetu wa Taifa Julius Kambarage Nyerere...
  13. ADC Party

    Uchaguzi 2020 Queen Sendiga : Aahidi kurudisha kiwanda cha kuzalisha gesi katika kipindi chake cha kwanza cha urais endapo atapata kura za kushinda

    "Nikienda kupata ridhaa na kura zenu za kutosha tarehe 28 nawaahidi kurudisha kiwanda cha kuzalisha gas hapa mtwara ili watoto wetu, vijana wetu nao wanufaike na rasimali hii Mungu aliyetuzawadia " Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amehitimisha kampeni zake katika wilaya...
  14. ADC Party

    Uchaguzi 2020 Queen Sendiga: Jukumu la Serikali ni kupanga namna njema ya matumizi ya rasilimali zilizopo kwenye maeneo husika kwa manufaa ya wakazi wake

    Queen Sendiga kaelezea umuhimu wa rasilimali zilizopo Mtwara kunufaisha wanamtwara "Jukumu lingine kubwa kwa serikali makini inayojali maisha ya watu ni kupanga namna njema ya matumizi ya rasilimali zilizopo kwenye maeneo/mikoa husika kwa manufaa ya wakazi wake ADC ikipata nafasi ya kuongoza...
Back
Top Bottom