Recent content by adamWaEden

  1. adamWaEden

    Tafuta utatuzi acha kulaumu wengine

    Geto kuna joto😓 ,feni haiwaki na malipo ya umeme ni zamu yako.Chini ya kitanda kuna Panya anatafuna soksi ya mguu wa kushoto inayotoa harufu flan hivi sio rafiki!😷 Pembeni kuna Dundo moja kuu kuu ulilodumu nalo kwenye shida na raha! Umejiegesha kitandani na Kinjunga chako ulichokunja ki'26...
  2. adamWaEden

    Mambo muhimu yakuzingatia baada ya kuachana na mpenzi wako

    Je? Wewe ni mmoja kati ya wanaosema maumivu ya kuachwa ni makali kushinda maumivu ya viungo vya mwili? Mbona ni kama unajaribu kuwashauri madaktari waanze kufanya oparesheni bila ganzi hivi? Enewei! Tuachane na hilo! Jambo la msingi ni kuwa kuna maisha baada ya Brekapu 💔! Yafuatayo ni mambo...
Back
Top Bottom