Recent content by adams mtangaza

  1. adams mtangaza

    Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

    Uwezekano wakukosa round ya kwanza haujalishi point bali competition ndo inaplay part sana so inawezekana pia hasa kwa chuo kama udsm
  2. adams mtangaza

    Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

    Unaweza pata ila inategemea na ushindan kwa walioomba pia kama una dv 1 o level inasaidia
  3. adams mtangaza

    Taarifa kwa Wanafunzi wote waliochaguliwa UDSM 2015/2016

    Ningeomba kujua kwa mtu anayetaka kubadili course,kwa hilo tatizo si ni mpaka tar 30 ndo kusaidiwa
  4. adams mtangaza

    Wale TCU 2nd round, tembelea profile yako sasa hivi

    Textile udsm anaweza pata according to da first batch ya udsm
  5. adams mtangaza

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Wakuu ningeomba kujua kuhusu course ya industrial engineering kwa udsm katika soko hapa tz
Back
Top Bottom