Kimantiki naona kama hiyo press ya leo haikuwa nahaja wala tija kwan mambo yote ya msingi yamefanyika sasa ulikuwa wapi mwanzo! Kama kweli unapatriotic spirit kwann usingejitokeza mwanzo na kueleza ukweli huo! Utatuaminisha vipi habari hizo kwan hii ni siasa kila mmoja anavyojisikia anafanya! So...
Mmmmmh mbona shida sasa sisi tunaosikia tu pasipo uhakikisho tufanyeje! Nafikir hapa kuna shida tena sio ndogo ni kubwa tena yenye ugumu zaidi kimaamuzi!
Hakuna lolote hizo ni habari zenye msisimko wa unazi na chama cha kijani! Kila mtu anaongea lake na ww unahaki ya kusema ya kwako ila muhimu kuwahaminisha watu vitu vya kweli! Time will tell mnakumbatia uchafu na uozo mkubwa sana unaofanywa na hao wenye mamlaka na mnashindwa kukemea ila kueneza...
Nafikir kuna ukweli fulan hapo! Kwa maana kama mtu anatuhumiwa na nyaraka za uthibitisho zipo! nafikiri hakuna tena kutuhumu bali ni hukumu ndio inayofuata! Kuhusu kutoridhishwa na EL kuwa raisi sio issue kwan kila mtu ana mtazamo wake na mambo anayoamin! Ila kutuhumu au kuhukumu muhimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.