Recent content by Adam1992

  1. A

    JamiiForums Tanzania Enviromental engineering(ardhi university)

    Sawa nimekuelewa lakini anataka kujua ikoje
  2. A

    JamiiForums Tanzania Enviromental engineering(ardhi university)

    Jamani kwa yoyote anayeijua hii kozi vizuri naomba ailezee vizur na application zake ktk maisha maana kuna ndugu yangu kachaguliwa hapo na ana utata wa kuijua vizur hiyo kozi maana inatolewa na chuo kimoja tu
  3. A

    JamiiForums Tanzania New... ARDHI UNIVERSITY TUKUTANE HAPA....!

    Hiv hamna vyumba vya kupanga nje ya chuo
  4. A

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa UDSM undergraduate

    Kama umeyadownload yatupie humu bas kila mmoja aone
  5. A

    JamiiForums Tanzania Jaman jkt itasababisha watu kukosa chuo

    Hiv jaman mnaosema walirudishiwa hiv mnalijua jeshi nyie jeshi halina utaratibu wa dizaini hiyo tuulize ss tulioenda first round shida tuliyoipata
  6. A

    JamiiForums Tanzania Jaman jkt itasababisha watu kukosa chuo

    Jaman hiv serikali ina mpango gani na wanafunzi wenzetu ambao wapo jkt maana kuna watu majina yao yalikuwemo katika wale waliokosa first round lakini hawakutaarifiwa ili wafanye selection na yametoka tena ili wafanye selection lakin hawajui lolote sasa hawa wakirudi mtaani si kilio tu
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mbeya University of science and technology

    Mbona kuna wengine nasikia wameshaanza mwez huu tar 5 kwa wale waliochaguliwa ili wapige kozi ya wiki kumi kabla ya hawa wengine hawajafungua
  8. A

    JamiiForums Tanzania Wenye div 3 ya 15 na kuendelea hii inawahusu

    Kizaz cha mulugo noma eti gs inajumlishwa teh teh teh nyie jiteteeni tu jaman ila waliokosa chuo na wakaambiwa waapply mara ya tatu wengi wao wapo jkt cjui watawasaidiaje maana na rafiki yangu yumo nikimpigia hapatikan
  9. A

    JamiiForums Tanzania Confirmed: Tcu selection

    Jaman yaan wanafunzi 8000 wanakosa chuo huu xaxa si utata
  10. A

    JamiiForums Tanzania Hello

    Asanten cna kwa kunikaribisha
  11. A

    JamiiForums Tanzania Hello

    Jamani na mimi naomba kujiunga na nyinyi nipokeen jaman natanguliza ahsante kwa wote
Back
Top Bottom