Habari zenu wana Jf. Mini ni mtumiaji mpya wa jamii forum ila nina jambo moja linanichanganya na kama kuna mwenye kulijua hili naomba kuelimishwa. Nimekuwa nikisoma habari nyingi kuhusu hawa watu wanaojiita Freemason. Wana history ya kawaida kabisa katika kuanza kwa jamii yao ila nimeshindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.