Recent content by Adam mashaka

  1. A

    JamiiForums Tanzania Huu ni umafia dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar

    Wapi makonda kafanya fujo au unafuata mkumbo kama ngoma ya mdundiko.Ruge mwenyewe hakuna alipotamka kuwa fujo imefanyaka
  2. A

    JamiiForums Tanzania Watanzania, hatumjui Paul Makonda?!

    Hoja zako hakika zina mapana ya watu kutambua nini umekiongea .Nakubali kabisa hayo ndiyo watu walitakiwa kujua wala siyo mihemko.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wabunge 10 wa CCM kesho wana ziara ya kuitembelea Clouds Media

    Hao hawana lolote.Wanakwenda sababu ya makonda kawazidi utendaji.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wabunge 10 wa CCM kesho wana ziara ya kuitembelea Clouds Media

    Eleza maana ya kuvamiwa kwanza yawezekana hutambui .Hizo ni siasa za wauza sembe.Mbona hawakwenda vikindu hadi askari waliuwawa,au kamati haikuwepo na waziri wake.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Kitendo kilichofanywa na RC Makonda kimenajisi Tasnia ya Habari. Kamati yaundwa...

    Upo sahihi kuna unafiki hao jamaa.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Kitendo kilichofanywa na RC Makonda kimenajisi Tasnia ya Habari. Kamati yaundwa...

    Leo ndiyo anauona uhuru wa habari sababu ya makonda au kuna nini nyuma ya pazia.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite (Makonda)

    Huo ni ujinga na akapimwe akili zake nawote mnaounga mkono.Tangu lini mtu aliyepata zero akawa na cheti?Hapo tu inaonyesha mashaka ya uelewa wa cheti ni nini.Alete hoja nyingine wanaemtumia wameshamdanganya sababu wamemwona uelewa wake siyo mzuri.watu mnaunga mkono kama vile nanyi hamuelewi hilo...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Gazeti la MwanaHALISI kumuanika Paul Makonda

    Huyu mtu ambaye mnamwandama Paul Makonda hajatumia vyeti feki bali yeye anatumia vyeti ambavyo amesomea.Cheti cha fomu 4 siyo chake kama mnavyosema lakini baada ya hapo nivyake vilivyo salia.Je tatizo ni elimu yake au ukuu wa mkoa?Yeye kasomea vyeti hivyo wote mnajua tatizo hapo siyo vyeti...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima ni nani? Tukianzia hapa Tutajua namna ya Kudeal na watu aina yake

    Huyo Gwajima ni askofu muongo wakuaminisha watu.mfano tu akitanganza kuwa ana vyeti vya p.Makonda,kwamba ukienda baraza la mitihani wanakupatia ndiko amepata yeye.hivi tuelezana hapa nn akishaenda baraza kuchukua cheti hata cha mtoto wake wakampa kama siyo uongo hapo nini.Naongo hajo kuwa huyu...
Back
Top Bottom