eti! hebu nisaiidieni kipi bora jinsi maisha ya sasa hivi yalivyo magumu kama mfano wa kulamba shubiri.Kwanza ajira na kazi ni ngumu kupatikana leo hii kijana anaangaika kutafuta hiyo kazi au kibarua...anafika mahali anakuta pameandikwa bora kazi! sio kazi bora! je? wewe kama mwana JF utafanyaje?.
mh! tazama historia ya waafrika 2metoka wapi? na thamani yetu ni nini ikiwa 2! ukipigania haki yako au ya watu basi cha mbembe utakiona basi pitia kusoma kitabu cha j'na hilo hapo juu.
Hapo bwana mi naona kuwa bora wachukuwe kodi halafu mwisho wa siku wanakuja kuweka hadharani kuwa....bwana eeh! kias 2licho kipata ni hiki vingine vitafuatiliwa.....kama kuhoji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.