Hongera sana kwa uthubutu..kuweka stock inalipa sana ukifanya timing na kupata quality nzuri ya Mazao..Ndugu yangu alikopa 70m kwa ajili ya mahindi ambayo alitumia kama 40m tu kununua mahindi nyingine akapeleka kwenye shughuli zingine..ayo mahindi ya 40m ndio yaliolipa mkopo wote wa karibia 80m...
Nishawahi kwenda kufuturu kwa marehemu mzee Zakaria(murzah)..parking tu ni zaidi ya 1b tshs,nyumba ndo usiseme..muda wote pesa zinaletwa kwenye makapu ya sokoni..mzee ana mtu wake maalum bank fulani wa kumuhudumia haondoki mpaka ruksa ya mzee,yule mzee alikua tajiri haswaaa..Rip mzee Zakaria
Mombasa ipo kabla ya kufika gongo la mboto ukifika pale unaelekea kushoto kama unaenda Moshi bar kuna reli..nashindwa ku attach google location hapa kama hutojali nicheki watsapp
Ina fremu 8 na vyumba vi5
Ipo opposite na mwendokasi
Imegusa barabara kubwa ya lami
Eneo sqm 400
Clear title deed
Bei 800m mazungumzo
More details 0715877076
5 bedrooms,1 master bedroom
Ina kisima cha maji safi na tank lake
Eneo sqm 1000
Parking space ya kutosha ata gari 8
Title deed
Bei 190m mazungumzo
More details 0715877076
Kama una leseni na muda nunua TVS bajaj used ya 4m zipo nyingi tu ukomae nayo mwenyewe kufunga ef30 kawaida sana wanapiga mpaka 50,60 kwa siku.Utatumia kama laki 2,3 kufanya service ndogo inayobaki 800k acha kwenye acc kwa ajili ya dharula.
NOTE:Brand ni Tvs tu si nyingine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.