Recent content by ada x

  1. A

    Tathimini: Majimbo na kata zinazoongozwa na CHADEMA wamepata maendeleo gani?

    Mh Mnyika ubungo hakuna anachokifanya huu ndio mwisho wake hatujawatuma bungeni kupeleka siasa tunataka maendeleo kinondoni temeke barabara mpaka uchochoroni na huyu diwani pamba hakuna anchofanya hilo analijua
  2. A

    Christmas: Askofu Kakobe kuzungumzia mustakabali wa Taifa

    Dini na siasa wapi na wapi. Anzishe chama basi.
  3. A

    Julius K. Nyerere, The Unsung Hero Of Africa Who Made Nelson Mandela!

    Ww unayemtusi nyerere yani ww ni shoga na kibaraka Wa wazungu.
  4. A

    CHADEMA yazindua Sera Mpya

    Mnyika jumbo lako ubungo limekushinda hakuna maendeleo yoyote uliyofanya maneno tu kweli siasa ni uongo tu na huu ndio mwisho wako hatukuchagui tena katafutesha ulime
  5. A

    CHADEMA wameshindwa kwenda na kasi ya ukuaji wa chama hawafai kupewa nchi

    Hapo nakunga mkono coz tatizo cdm kila mtu muongeaji hakina muongeaji maalum wamekuwa kama timu ya mpira ugomvi Wa ndani ya chama utatangazwa mpaka nje. Hawafai siri za ndani wanatoa nje.
  6. A

    Mama Zitto Kabwe akishiriki katika maziko ya Peter Mangula mtoto wa Mangula

    Yani wanachama wa chadema ni wapuuzi wanasiasa za chuki kwahiyo huyu mama kwenda kwenye msiba wa mwanaccm ni kosa basi mtashindwa kwenda kwenye misiba ya watu wenu wakaribu kisa ccm acheni siasa za kizamani za CUF wenzenu wamejirekebisha coz siasa sio chuki Wabaguzi wakubwa nyie.
Back
Top Bottom