kidole007
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 3,094
- 1,873
Aids day, 1 Dec 2013
ukuaji ni hatua ya kuelekea ukomavu (maturity)
hata mwili wa binadamu unaanza na single cell unakua hadi kufikia kiumbe kamili
katika ukuaji kuna ukuaji wa kawaida, ukuaji uliozidi (rapid growth) na retarded growth.
Lengo lolote la ukuaji ni kufikia ukomavu
chadema kama chama kina experience rapid growth spurts
changamoto moja ya ukuaji wa haraka kuliko kawaida ni pamoja na migogoro
watoto wa miaka 1-5 ambao hu experience rapid growth spurts kama mwili utashindwa kwenda na kasi hiyo ya ukuaji ndio tunaona migogoro ya kifya kwa watoto kama iron deficieny anemia, na magonjwa mengine
chadema sasa ipo kwenye mgogoro wa ndani ambao ni matokea ya ukuaji uliozi kiwango ivyo kupelekea tofauti ya mitazamo na misimamo
uongozi wa juu wa CDM kama mwili wa CDM ni wazi umeshindwa kwenda na kasii hii ya ukuaji
ndo maana migogoro ambayo kimsingi ilipaswa kuwa ya ndani sasa tunaiona nje
wenye kumbukumbu ya enzi za mwalimu mtakumbuka kesi za uhaini enzi za Tanu chama kilikuwa kichanga lakini leo hayo hayapo CCM,
chama kimekomaa kina solve internal dispute ndani kwa ndani
kama healthy body inavyo pambana na infetions ndani kwa ndani..
Hivyo basi chadema haipo tayari kupewa nchi maana hakija komaa ipasavyo
even though CCM imefikia stationary growth patterns
ni salama kwa taifa mara mia zaidi ya chama pendwa cha cdm
ambacho kasi ya ukuaji imeanza kukishinda..
.....Ukimpenda utamlinda..