Mwisho wa siku, " Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke, siku zake si nyingi na hakuna atakayeishi milele". Ndio maana, wapo wanaokufa wakati wa kuzaliwa, wakiwa newborns, underfives, vijana na wengine hufa uzeeni. Na kwa aliyekufa, kifo ni kifo. Kuna watu waliua wenzao, wakiwa njiani kurudi makwao...