Ukitaka nora lazima uingie gharama sasa u cant be a good breeder with crosses breed unless unataka wakufuga tuu..watu wanafuata boerbell UG @2500USD kwa mbwa mkubw ailituu apate pure breed
Kuna breeder wana pure breed na wengi wanawanunua kwenye breed association kama umefuatilia hizi thread nilisema ukiwa na pure breed una mreguster kwenye association ya breeder wa hyo breed hvyo basi soko hutegemei tanzania na mfano mtoto w rotwailer wa miezi miwili ni usd 800..
Kwa ushauri tuu maana hii kitu tayari ni ajira hakikisha mbwa wako ni pure breed na wawe register kwa association ya hyo breed, hapo utapata wateja kutokea hadi ukraine mtu ana book kwa hyo site anakutumia hela wewe unasafirisha puppy
Kwao ardhi ni bidhaa adimu kwa hyo ku practice hivi nibsawa kabisa..una weza iilinganisha na technology ya namna ingine ambayo mizizi haipo kwenye ungo inaninginia tuu ndani ya glass container alafu nutrients zote na maji vinakuwa sprayed ni expensive ku practice ila huko mbeleni wanaweza jenga...
Mkuu nina taka kuingia kwenye kilimo target yangu kubwa ni horticulture,sana ni kilimo cha mboga mboga ikiwemo vitunguu nyanya karoti na hoho wazo langu kuu ni kuanza na kitunguu mwakani nifanye deployment ya horticulture kwa kitunguu kwa eka moja.. nimesikia swala la mvua kunyesha na kuozesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.