JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania
Natafuta Mke
Asalam aleikum, kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu kunipa uzima hakika ni faraja kupanda jukwaani kusema ya moyoni
Nahitaji mke wa kiislamu, sifa zingine ni za ziada nahitaji kuoa sasa kikubwa umri usiwe mkubwa sana, asizidi miaka 32 maana mimi nina miaka 35.
Inshalaah, pia mimi ni mtumishi wa...