Recent content by ACT Wazalendo

 1. ACT Wazalendo

  ACT Wazalendo yakataa kushiriki Kikao cha Msajili

  TAARIFA KWA UMMA. Tumepata taarifa kupitia vyombo vya habari kuwa kikao cha Jeshi la Polisi na Vyama vya Siasa kilichoitishwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kimepangwa kufanyika tarehe 21 Oktoba 2021. Baada ya tafakuri ya kina, ACT Wazalendo tumeamua kuwa HATUTASHIRIKI kikao hicho kwa...
 2. ACT Wazalendo

  ACT Wazalendo: Serikali iache kuvifungia Vyombo vya Habari

  KUFUNGIWA KWA GAZETI LA RAIA MWEMA NI MWENDELEZO WA SERIKALI YA CCM KUKANDAMIZA UHURU WA HABARI NA KUHUJUMU USTAWI WA DEMOKRASIA NCHINI Chama cha ACT Wazalendo kimeshtushwa na taarifa ya Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Ndugu Gerson Msigwa kulifungia gazeti la RAIA MWEMA. Taarifa ya Idara...
 3. ACT Wazalendo

  Udhalilishaji wa Jeshi la Polisi kwa Wanawake haukubaliki

  TUNALAANI VITENDO VYA UDHALILISHAJI KIJINSIA VILIVYOFANYWA NA POLISI HANDENI, TANGA. Ngome ya Wanawake ya ACT Wazalendo imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya baadhi ya Askari wa Jeshi la Polisi Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga kutuhumiwa kuwafanyia vitendo vya udhalilishaji kijinsia wanawake...
 4. ACT Wazalendo

  NEC yatangaza nafasi ya kazi kwa Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi kwa Jimbo la Konde

  Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza nafasi ya kazi kwa Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi kwa Jimbo la Konde. Utaratibu huu ni tofauti na utaratibu wa awali ambapo Wasimamizi wa Uchaguzi wa Majimbo kwa Zanzibar walikuwa wakiteuliwa moja kwa moja na Tume ya Taifa ya Uchaguzi...
 5. ACT Wazalendo

  ACT Wazalendo: Tunalaani vikali kitendo cha Jeshi la Polisi kuvamia na kuzuia Kikao cha Kamati Kuu ya NCCR Mageuzi

  Tumepokea Taarifa kuwa Jeshi la Polisi limevamia Ukumbi wa Msimbazi Center, Dar es salaam na kuzuia kikao Cha Kamati Kuu ya Chama cha NCCR Mageuzi kisifanyike kwa kisingizio cha tahadhari ya ugonjwa wa Uviko 19. Chama kinalaani vikali hatua hii ya Jeshi la Polisi ambayo ni kinyume na Katiba ya...
 6. ACT Wazalendo

  Kodi ya majengo: Bunge limewasaliti wananchi

  KODI YA MAJENGO: BUNGE LIMEWASALITI WANANCHI. UTANGULIZI. Chama cha ACT Wazalendo kilitoa msimamo wa kupingana na hatua ya Serikali, kupitia Bajeti ya Mwaka 2021/2022 kukusanya kodi ya majengo kupitia luku za umeme. Tuliweka bayana kuwa hatua hii ya Serikali inakusudia kuwapora fedha mamilioni...
 7. ACT Wazalendo

  Ziara ya Viongozi wa Kitaifa Katika Majimbo ya Pemba

  Leo tarehe 09 Agosti 2021, Kiongozi wa Chama Ndugu Zitto Kabwe, Makamu Mwenyekiti Zanzibar Ndugu Juma Duni Haji, Katibu Mkuu Ndugu Ado Shaibu na Mjumbe wa Kamati Kuu ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais Ndugu Othman Masoud Othman wameanza ziara ya siku mbili kwenye Mikoa yote ya Kichama Pemba...
 8. ACT Wazalendo

  Zitto Kabwe ameanza Ziara Majimbo ya Pemba

  Leo Kiongozi wa Chama, Ndugu Zitto Kabwe ameanza Ziara ya Kichama katika majimbo yote ya Pemba. Katika ziara hiyo ameambatana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ambaye pia Mjumbe wa Kamati Kuu, Mheshimiwa Othman Masoud Othman. Katika ziara pia yupo Katibu Mkuu wa Chama, Ndugu Ado Shaibu na...
 9. ACT Wazalendo

  #COVID19 Massabo: Serikali Iwekeze Kwenye Elimu ya Chanjo Dhidi ya UVIKO—19

  Taarifa ya Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo juu ya Umuhimu wa Chanjo katika Mapambano dhidi ya Covid 19 Tangu dunia ilipokumbwa na janga la virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid19, mwezi Machi 2020, jitihada kubwa zimechukuliwa katika mataifa mbalimbali katika kutafuta chanjo ya...
 10. ACT Wazalendo

  ACT Wazalendo: Tumepokea kwa masikitiko makubwa kauli ya Rais Samia kuhusu katazo la mikutano ya kisiasa ya hadhara

  Chama Cha ACT Wazalendo kimeipokea kwa masikito makubwa kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan kuwa mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa na Katiba Mpya visubiri kwanza yeye asimamishe nchi na kujenga uchumi wa Taifa. Kauli hiyo aliyoitoa jana kwenye kikao...
 11. ACT Wazalendo

  Othman Masoud Aahidi Utumishi Uliotukuka

  Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Ndugu Othman Masoud Othman, amewaahidi viongozi pamoja na wanachama wa chama kuwa ataendelea kuitumikia nchi pamoja na chama ili kuona dhamira ya chama inafikiwa. Mheshimiwa Othman ameyasema hayo katika ufunguzi wa kikao cha...
 12. ACT Wazalendo

  Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

  UMUHIMU NA ULAZIMA WA KUWA NA TUME HURU ZA UCHAGUZI, MAPITIO YA SHERIA ZA UCHAGUZI NA KATIBA MPYA YA JMT; UCHAMBUZI (CASE STUDY) KWA MUKHTASARI; IDARA imekusanya taarifa za kutosha na kufanya uchambuzi wa matukio 9 Makubwa (Case Study) ya uvunjifu na ukiukwaji wa Haki za Binaadamu yaliyofanywa...
 13. ACT Wazalendo

  Zanzibar Update 07/06/2021

  Nitaendelea kusimamia utawala bora nchini kwalengo la kufufua maendeleo ya Zanzibar yatakayowainua wananchi kiuchumi - Othman Masoud Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo, ambaye pia ni Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, ameyasema hayo wakati...
 14. ACT Wazalendo

  Othman Masoud: Maendeleo ya Zanzibar yatakuja kukiwa na amani, Umoja na utawala bora

  Maendeleo ya Zanzibar yatakuja kukiwa na amani, Umoja na utawala bora - Othman Masoud Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo, ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud, ameendelea na siku ya tatu ya ziara yake katika mikoa ya kichama ya kisiwani...
 15. ACT Wazalendo

  Othman Masoud: Sisi sote ni Wazanzibari licha ya tofauti zetu, na hapa ndiyo kwetu

  Sisi sote ni Wazanzibari licha ya tofauti zetu, na hapa ndiyo kwetu – Othman Masoud Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo, ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, mheshimiwa Othman Masoud Othman, amewataka Wazanzibari kutokubali kubaguana au kufitinishwa na watu wenye...
Top Bottom