mwanaume/mwanamke wa kuishi nae huwa hatafutwi amekubwaga fresh fanya mambo yako jikite kwenye kufanya mambo yako ya maendeleo yakimaisha epuka kuwa daraja la mwingine la mafanikio kwenye maisha yako
1.kuwa busy mda mwingi na mambo yako usikae loss hata kama hakuna kitu chakufanya basi ww jipe ili tu uwe busy na usiupoe ubongo mda wa kufikiria vilivyopita
2.jichanganye na watu
3.usitafute mtu mwingine kwa haraka kwaajil ya kuziba pengo
4.kama unapenda mazoez basi tumia mda mwingi kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.