Recent content by acontinuer

  1. acontinuer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania African Satellite World and Sat Gear

    Decoder ipi?
  2. acontinuer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania African Satellite World and Sat Gear

    Yeah
  3. acontinuer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania African Satellite World and Sat Gear

    Okay
  4. acontinuer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania African Satellite World and Sat Gear

    All sky channels?
  5. acontinuer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji gaming PC, Kwa Tanzania ni wapi wanauza au ku build custom PC?

    Sina mkuu
  6. acontinuer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji gaming PC, Kwa Tanzania ni wapi wanauza au ku build custom PC?

    Nenda machinga complex pale chini kuna office ya Mfaume au ukifika ulizia kwa Mfaume kuna stationary ukikosa hapo panda juu ulizia kwa chui ukifika hapo pembeni tu utaona utachagua unayotaka hadi ukitaka gaming monitor utapata 34 inch au 43 monitor zipo ushindwe wewe tu
  7. acontinuer

    JamiiForums Tanzania Chaneli zaidi ya 23000+ kwa Tsh.9000/= kwa mwezi ila unapewa masaa 24 ya kuzitazama kabla ya kununua

    Kama mimi IPTV kwa sasa natumia zaidi ya miezi 5 ila sio mteja wa uyu jamaa ila anachosema kinaukweli coz utapewa test ili uone channels unazozipenda zinafanya kazi na kama hazifanyi kazi unachaanane ila ukiona zipo poa munafanya biashara ila inawafaa watu wa unlimited internet kwetu inapunguza...
  8. acontinuer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naamini mtu anayekufa anajua dhahiri juu ya kifo chake

    I believe mtu anayekufa anajua dhahiri juu ya kifo chake, Hivyo kuna uwezekano mkubwa wa kusema kitu fulani kabla ya kifo kumpata. Undoubtedly true we've seen that several times. Majira ya saa mbili asubuhi wakati ADAM SHEBA amekwenda kuangalia mwili wa marehemu baba yake Eneo la mochwari ili...
  9. acontinuer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina TV ya Samsung inch 43 android, inaniletea shida kiasi kwamba siwezi kuona chochote

    Upo sahii kabsa kanstua kusema sumsung ya android TV nikawadha hiii model ya 2024 au kapgwa
  10. acontinuer

    JamiiForums Tanzania Ni site gani nzuri ya online shopping?

    Zote zipo fresh tu itagemea bidhaa utakayo ubora au mpya au used au kuingia kwenye mnada yani wewe Ndio muamuzi wa kutokana na itaji lako
  11. acontinuer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unafurahia channel zipi za DSTV?

    Channels za sports tu
  12. acontinuer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Computer yangu inasumbua

    Kama wewe sio fundi ni ngumu kukupa maelezo ya kina maana Kuna vitu vya kupima na pia najua multimeter una na hata ukiwa nayo ngumu kuitumia jinsi ya kuisoma
  13. acontinuer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupata Free unlimited internet?

    Doh🤦 aendelee kupambambana
Back
Top Bottom