Recent content by aclassicBoy

  1. aclassicBoy

    JamiiForums Tanzania Adventure To Mount Kilimanjaro

    Sababu ni kuwa Siyo kila mtu ana muda wa kuchukuwa bidhaa yake na kwenda nayo. So nmejitokeza kumuwakilisha asiye na muda au uwezo huo.
  2. aclassicBoy

    JamiiForums Tanzania Adventure To Mount Kilimanjaro

    Kwa kuepusha usumbufu usio wa Lazima nmeonelea Bora kupokea message Inbox.
  3. aclassicBoy

    JamiiForums Tanzania Adventure To Mount Kilimanjaro

    Influence yangu Mitandaoni bado naikuza kwasabu nmeanza Rasmi ku-engage na adventure activities, Kwa maaana hiyo ntakuwa na Brand yako ya Biashara ambayo nitapiga picha na Kukutumia ww Upost kwenye Social Media zako alafu na mm ntapost pia kwa Sehemu yangu.
  4. aclassicBoy

    JamiiForums Tanzania Adventure To Mount Kilimanjaro

    Habari za muda na wakati huu. Npo hapa kutafuta mdhamini/Wadhamini (Sponsor(s)) wa Safari ya Kupanda mlima Kilimanjaro. Atakayekuwa tayari kwa udhamini huo. Ntaitangaza Brand au Biashara ya kwa kupiga nayo picha mwanzo wa Safari mpaka Ntakapofika Uhuru Peak. Picha hizo atazitumia kupost katika...
  5. aclassicBoy

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kutumia bati za kampuni ya BATI BOMBA LTD au kampuni zozote ndogo za mabati

    Ni pm mkuu nikutumie namba za kiwandani kbs,
  6. aclassicBoy

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kwenda Marekani?

    Mfuatilie huyu jamaa ana weza akakusaidia https://www.youtube.com/live/2-E9BYP72D8?si=JbE7Wa6Z2OI1O9ay
Back
Top Bottom